Sababu tatu kwanini Wachungaji wengi wanasumbuliwa na Zinaa

Utangulizi.

Kaka watatu huko kusini mwa afrika wameapa kumpiga Mchungaji kila jumapili hadi atakapokubali Mimba aliyoikana ya Dada yao.https://www.faceofmalawi.com/2022/04/07/3-men-beat-pastor-for-impregnating-their-sister-and-denying-the-pregnancy-vows-to-continue-beating-him-every-sunday-until-he-accepts-the-pregnancy/

Hii imekuwa shida kubwa ya makasisi na viongozi wa kiroho.

Nimetafiti nimegundua hizi ndio sababu kuu.

1: Wanakuwa wamezungukwa Muda mwingi na wanawake. Wateja wakuu wa mambo ya Mungu huwa ni wakina mama. Hata Yesu walimzunguka lakini alikuwa na mipaka. Akiachana nao anaenda kukesha ila wengi wanalala na kuomba kidogo. Hapo Mtumishi utaangushwa.

2: Wanamigogoro kwenye Ndoa zao. Hekima ya kushindwa kubalance ndoa na utume wanajikuta familia au Mke katelekezwa. Wafariji wakuu wanakuwa wana wa kike makanisani. Rahisi kuporwa hisia na kuzichepusha kwa wamama au wadada wanaomzunguka.

3: Ushauri nasaha. Katika maandiko hakuna Mtumishi eti amekaa chobisi/faragha anamshauri mwanamke kuhusu Ndoa na mapenzi. Hii hufanywa na wanasaikolojia wa duniani. Utafiti katika kitabu (Stop biblical counciling start Biblical ministering) anasema Asilimia 35 ya makansela wachungaji au wadunia huzini na hao wanaowakanseli.
Unatakiwa kuomba, Na kufanya awe wa kiroho ili atatue matatizo yake na Yesy wake, sio wewe uanze kumchimba. Pia Ni dhambi kumshauri MTU mmoja faragha kwa jambo linalohusu watu wawili bila upande mwingine kuwepo. Utafanya maamuzi kwa taarifa za nusu uongo.

4: Shambulizi LA Ngono
Wako watu wanatumwa kuwaangusha watumishi makusudi. Ni mkakati wa makusudi kuwablackmail au kuwapoza wale watumishi wa kweli. Hii hufanywa na majasusi wa kubwa kuwafunga viongozi wa kisiasa kwa kuwatengenezea skendo duniani. IInaitwa HONEY TRAP. Sio kila Mchungaji anazini kwa kupenda wengine wameangushwa.

5: KAFARA YA NGONO.
Wale wachungaji feki ngono ni ibada. Ni sujudu kwa ibirisi ili kuongeza upako wa kuzimu. Huyu atazini na wajane, vibinti, wakongwe, wake za watu bila kukoma.

Mwisho
Ukisikia MTU anakuwa Mchungaji au Mtumishi wa Mungu Muombee sana. Angusho la kingono linanzunguka 24hrs7Days.

Ni hayo tu

Karibu kwa maoni zaidi na maswali.
Naunga mkono
 
Ndigu unajua Ile"kimeingiacho mwanadamu hakina najisi Bali kimtokacho"matendo na tabia ya mwanadamu ni inborn'huwezi kushinda hulka bila ya kusali Toka ndani(moyoni) na Allah akubali na kukusaidia .baadhi ya wachungaji wanainjili kwa ajili ya mishahara na si wito,hivyo ni wasanii,waiigixaji,wapenda anasa na furaha za Dunia na ni wanafiki.wanayoyatenda ndio rangi zao halisi .
 
Mchungaji makini huwa na team imara ya maombi maalumu ya kumuombea yeye na kuliombea kanisa. Shetani au ajent akitupa kombora kwa Mchungaji linadakwa na team ya maombi, akiipiga team ya maombi anakuta mchungaji yupo imara anadaka kombora, so waumini, team maombi plus mchungaji wakishikamana mchungaji hawezi anguka.
 
Wachungaji wanaojua vita huwezi wanasa kwa tamaa ya ngono au pesa. Hizi ni silaha kuu mbili za shetani kumuangusha mtumishi
 
Wachungaji na kondoo wa Mchongo! Mbona zamani hayakuwepo haya...Unaenda kwa mchungaji umevaa mini paja hilo hips unamrembulia mchungaji mwenyewe kijana. Unamwambia shida za mumeo (eti Safari yenu chumbani imekuwa na mashimo mengi safari ya basi mnatumia ndege)
 
Ubarikiwe
Utangulizi

Kaka watatu huko kusini mwa afrika wameapa kumpiga Mchungaji kila jumapili hadi atakapokubali Mimba aliyoikana ya Dada yao.https://www.faceofmalawi.com/2022/04/07/3-men-beat-pastor-for-impregnating-their-sister-and-denying-the-pregnancy-vows-to-continue-beating-him-every-sunday-until-he-accepts-the-pregnancy/

Hii imekuwa shida kubwa ya makasisi na viongozi wa kiroho.

Nimetafiti nimegundua hizi ndio sababu kuu.

1: Wanakuwa wamezungukwa Muda mwingi na wanawake
Wateja wakuu wa mambo ya Mungu huwa ni wakina mama. Hata Yesu walimzunguka lakini alikuwa na mipaka. Akiachana nao anaenda kukesha ila wengi wanalala na kuomba kidogo. Hapo Mtumishi utaangushwa.

2: Wana migogoro kwenye Ndoa zao
Hekima ya kushindwa kubalance ndoa na utume wanajikuta familia au Mke katelekezwa. Wafariji wakuu wanakuwa wana wa kike makanisani. Rahisi kuporwa hisia na kuzichepusha kwa wamama au wadada wanaomzunguka.

3: Ushauri nasaha
Katika maandiko hakuna Mtumishi eti amekaa chobisi/faragha anamshauri mwanamke kuhusu Ndoa na mapenzi. Hii hufanywa na wanasaikolojia wa duniani. Utafiti katika kitabu (Stop biblical counciling start Biblical ministering) anasema Asilimia 35 ya makansela wachungaji au wadunia huzini na hao wanaowakanseli. Unatakiwa kuomba, Na kufanya awe wa kiroho ili atatue matatizo yake na Yesu wake, sio wewe uanze kumchimba. Pia Ni dhambi kumshauri MTU mmoja faragha kwa jambo linalohusu watu wawili bila upande mwingine kuwepo. Utafanya maamuzi kwa taarifa za nusu uongo.

4: Shambulizi la Ngono
Wako watu wanatumwa kuwaangusha watumishi makusudi. Ni mkakati wa makusudi kuwablackmail au kuwapoza wale watumishi wa kweli. Hii hufanywa na majasusi wa kubwa kuwafunga viongozi wa kisiasa kwa kuwatengenezea skendo duniani. IInaitwa HONEY TRAP. Sio kila Mchungaji anazini kwa kupenda wengine wameangushwa.

5: KAFARA YA NGONO
Wale wachungaji feki ngono ni ibada. Ni sujudu kwa ibirisi ili kuongeza upako wa kuzimu. Huyu atazini na wajane, vibinti, wakongwe, wake za watu bila kukoma.

Mwisho
Ukisikia MTU anakuwa Mchungaji au Mtumishi wa Mungu Muombee sana. Angusho la kingono linanzunguka 24hrs7Days.

Ni hayo tu

Karibu kwa maoni zaidi na maswali.
Ubarikiwe Sana, na Mungu mwenyewe azilinde baraka zako'. Uzidi kuinuliwa.
 
Mbona mnawanangaga sana mapadri? Wao ndio waliojitoa kwelikweli, mashambulizi wanayoyapata sio ya kitoto.
 
Mapadri wamejiweka katika mtego makusudi pamoja na wale watawa wa kike.

Hakuna andiko linalotaka padri asioe. Au awepo Binti asiyeolewa. Ni maelekezo ya kibinadamu.

Ilitakiwa MTU aamue mwenyewe na sio lazima awe padri hata muumini wa kawaida. Na aongozwe na roho mtakatifu kutoka sio kanuni, sera,mapokeo na miongozo ya kikanisa.

Kiukweli wito huu katika uhalisia hautekelezeki maana hauna BARAKA za za moja kwa moja wa maandiko. Ni hekima za watu au kanisa. Ningekuwa mkatoriki ushawishi ningeandika makala kwa Papa na baraza lake waondoe hii kitu maana haitekelezi na haijawahi kutekelezeka kwa mtazamo wangu.

Ndio maana tunajadili hawa kwenye uhalisia kidogo.

Ni ukweli lakini unaweza usinielewe Leo.
 
Maandiko yapo. Hamtakagi tu kufuatilia na kuelewa.
 
Mchungaji makini huwa na team imara ya maombi maalumu ya kumuombea yeye na kuliombea kanisa. Shetani au ajent akitupa kombora kwa Mchungaji linadakwa na team ya maombi, akiipiga team ya maombi anakuta mchungaji yupo imara anadaka kombora, so waumini, team maombi plus mchungaji wakishikamana mchungaji hawezi anguka.
Mchungaji makini huwa na team imara ya maombi maalumu ya kumuombea yeye na kuliombea kanisa. Shetani au ajent akitupa kombora kwa Mchungaji linadakwa na team ya maombi, akiipiga team ya maombi anakuta mchungaji yupo imara anadaka kombora, so waumini, team maombi plus mchungaji wakishikamana mchungaji hawezi anguka.
Hii ni kitu bora kabisa.
Na sio hii tu
Kila pungufu LA Mchungaji kanisa mbadala ya kumlalamikia ni kumuundia kamati itakayojaza huo upungufu.
 
Waje tu hahahaha
Hii itakuwa vita ya maarifa. Na ukweli kwa asili huwa unashinda hata ukifukiwa unafufuka kama Bwana Yesu.
Sasa ngoja tuone hii vita inaweza tuhusu sie tusiofungamana na hao wanaofungana RUSSIA VS UKRANE
 
Wanawake ni wepesi wa kudanganyika
Hata kwa waganga wa kienyeji, watoa mikopo, matapeli, nk
 
Shetani ana vita kubwa sana na watumishi wa Mungu wanawake utumika kama agent kuwaangusha wachungaji.
Ushauri mchungaji akianguka msitenge mmuombee lile ni shambulio la kiroho.

Wawe wanaomba ili maagent wa shetani wasiwashambulie
 
Ndo mnasema Mapadre waoe mbona sasa wachungaji wameoa na bado wanakula kondoo Kwa kisingizio Cha kuangushwa na shetani.
Umezamishwa kwenye kisima eti ubatizo wa Maji Mengi na Umeokoka Shetani anakushindaje
 
Back
Top Bottom