Mtu yeyeto mfano mwanafunzi wa uchawi akimuangusha mchungaji urukishwa madaraja ya vyeo vya kichawi huku akipewa nguvu zaidi na lusifa, pia ni Kazi ambayo ni hatari sana kwa maajent uogopa maana ukikosea tu au ukikutana na mchungaji mwenye nguvu umepigwa na kuzimu inakua imepata hasara, adhabu yake ni lazima uuliwe au ulete kafara ya ndugu zako kuzimu. Ni hatari sana kuwa na ndugu mchawi anapangiwa wa kumtoa kafara apende asipende, mchawi hana huruma utenda maagizo. Mchawi ni mtumwa ni lzm afanye vile alivyoagizwa na shetani akikosea au kwenda kinyume adhabu zinamuhusu shetani hana huruma kabisa na mwanadamu sijui watu wanafuraha gani kuwa wachawi, maisha magumu sana ya kifungo kitumwa.