Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wewe ndio umemjua Rayvan akiwa wcb , sisi tumemjua kumjua kuanzia akiwa TipTop connection ... Na Rayvan ametolewa na shindano la super nyota la clouds fm ndio akachukuliwa na TipTop ...
Nenda kasikilize wimbo wa Madee "Pombe Yangu " yule anaeimba "Sio Mimi eeeeh " ni Rayvan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kuimba hapo kwenye hicho kiitikio inatosha kukwambia kwamba Diamond alimkuta Rayvanny kashatoka?
Au mimi sijaelewa.