Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wewe umenielewaje labdaMjifunze kupokea criticism positively
Acha kukaa kihasara hasara
Huyo dogo wa forexacha ujuaji unapewa facts alafu wewe unabwabwaja.
Unataka kutuaminisha Harmonize ameanza kuimba au kutoa nyimbo baada ya kusainiwa na WCB?!Ukimuondoa harmonize na Lavalava Ni msanii gani Mwingine diamond kamtoa from the the ground
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo alipomtaja Harmonize naona umepita kama hupaoni.Acha Pumba wewe labda Nandy wa uko Kwenu Nanjilinji..
Safari ya mziki kwa Nandy Ilianza pale alipopata Deal la kwenda kushiriki mashindano ya "Tecno Own the stage, tena alikua Chuo (CBE)
akiwa kwenye kipindi cha mithiani aliamua kufanya maamuzi magumu kuacha chuo na kwenda kushiriki mashindano hayo ya Tecno hali iliyomkosanisha na familia yake kuacha chuo kisa mziki.
Baada ya kurudi Tanzania aliitwa na Ruge ofisini kwake na kumwambia aje na CD za nyimbo Zake anazohisi ni kali
Baada ya Ruge kusikilizia alizivunja CD na kuzitupa kwenye dustbin na kumuuliza Nandy kama yupo tayari kuanza upya, Nandy akasema Yes Boss
Baada ya hapo Akaingizwa THT
Ebu twambie huyo Nandy aliyekua WCB ni yupi na Mwaka Gani?
vyote ulivyozungumza kaiga kwa ALIKIBANataka niwamegee siri kidogo kwa nini Diamond ataendelea kuwaburuza wasanii wenzake kwenye kuinua na kuvitoa vipaji vipya.
Nikichukulia mfano wa msanii wake Zuchu.
1. Ameakikisha Zuchu ana nyimbo za kutosha tena kali za kuwashawishi wananchi yani kasimamia kwenye basics kwamba msanii ni nyimbo.
2. Alijiandaa kumtoa Zuchu lakini alikuwa anasubiri wakati sahihi na huu wakati wa corona umekuwa sahihi sababu shughuli nyingi za muziki zimesimama hivyo yeye na timu yake wana nafasi ya kutosha kuweka nguvu kwa Zuchu.
3. Uwekezaji, unaona kabisa Diamond anawekeza sio tu pesa bali muda wake na nafasi yake kuakikisha watu wanampokea msanii wake. Ukipita page yake ya Instagram unaweza sema ni fanpage ya Zuchu.
4. Qualities, unaona kabisa kila kitu anachofanya kwa msanii wake anahakikisha kinakuwa na kiwango cha staa mkubwa. (Mfano ni instalive ya Zuchu jana.) Hii inasababisha hata washabiki kumuweka msanii kwenye kiwango cha kina Nandi, Rubby na Vanessa ndani ya muda mfupi.
5. Branding; Kwanza kahakikisha Zuchu ni brand inayojitegemea angeweza kuamua Zuchu aje na nyimbo kashirikisha wasanii wote wa Wasafi kina Rayvanny Lavalava Mbosso na Diamond mwenyewe lakini ametaka wampokee Zuchu kama Zuchu. Zuchu yupo kila kona ya mitandao ya kijamii na followers wanaongezeka kwa maelfu kila saa na kila mtu ana muongelea Zuchu.
Kwa kifupi Zuchu ameiteka bongofleva tayari na pengine anaweza kuwa malkia mpya wa muziki east africa.
Hii ni kinyume na wasanii wenzake angalla Harmonize juzi kamtoa msanii wake kesho yake nae anaachia wimbo wake bedroom remix kashirikisha wasanii kibao. So anamnyima msanii wake jicho la kutazamwa watu obvious watatazama kazi ya Hamo na wasanii wengine wakubwa. Na hapo hapo anatangaza album yake kiukweli ni kama hajajipanga anawachanganya fans wake waweke concentration wapi.
Ali Kiba yeye anapokosea ni kila akimtambulisha msanii wake anataka aimbe nae, kiasi watu hawaamini tena msanii wake mpya wanamsikiliza yeye
Pia Ali style yake ya utoaji nyimbo ndio anaitumia kwa wasanii wake wachanga. Mtu kama Ki2ga tangia atoe Masozy watu wamekuja msikia tena baada ya mwaka as if nae ni staa. Anakuwa anaanza upya kila siku.
Msanii wa Kiba akienda kutambulisha nyimbo Kiba anakuwa pembeni hii ni mistake kubwa sana sababu yeye anawafunika wasanii wake. Anawatkiwa awaache wasimame wao kama wao yeye awape backup support.
Wasanii wa Kiba awana matukio wala awapo active mitandaoni yani ukitaka kuwasikia basi utafute nyimbo wameshaaminishwa wao ni team mziki mzuri so wameishia hapo. Huyu msanii wake mpya unaweza shangaa next week usimuone tena mitandaoni Kiba atakaa kimya na menejimenti haifanyi lolote kumsukuma aonekane.
comment za aina hii ni mwiba mkali kwa team chukiDiamond hata akifa Leo hakuna msanii wa kumfikia hapa bongo akiwemo Alli kiba na Harmonize Kwa miaka 200 ijayo, jamaa ni genius ,
Kwan pale WCB yeye alipikwa lini?..angalia bidhaa iliyoletwa sokon na msanii husika kampika lini MAKANDE YALE.Mziki wa sasa sio kujua kuimba tu.
Harmonize tangu atoke WCB hata mwaka hana nae katambulisha msanii. Kampika lini?
Nyimbo umezionaje?Umeongea ukweli mkuu, kiukweli huyo Zuchu naona amepostiwa sana na Diamond mpaka nimeshawishika kudownload baadhi ya nyimbo zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijibu nitag.Ukimuondoa harmonize na Lavalava Ni msanii gani Mwingine diamond kamtoa from the the ground
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani DIAMOND alitolewa na nani hebu tuanzie hapo kwanza.Wewe unaona hao uliowataja hapo,amefanya kazi ndogo,embu tuambie msanii mwingine aliyemtoa msanii kutoka chini na kumfikisha ngazi ya harmonize kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesifia WCB au Diamond ningeshangaa.Sometimes hata unachobisha hukijui.Kwan pale WCB yeye alipikwa lini?..angalia bidhaa iliyoletwa sokon na msanii husika kampika lini MAKANDE YALE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona una hasira sana wewe Zinja. Game imebadilika.Kwan pale WCB yeye alipikwa lini?..angalia bidhaa iliyoletwa sokon na msanii husika kampika lini MAKANDE YALE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inabadilikaga kwenu tu chaupele?..kwamba nyie ndo ma game changers yani?..Mbona una hasira sana wewe Zinja. Game imebadilika.
Hongera si kwa gazeti hili😀JE DIAMOND ALITOLEWA NA NANI?..linaweza likawa ni swali la kwanza ambalo majibu yake yatakwepwa kwa kiasi kikubwa ili kuendelea kumtengenezea huyu bwana u Mungu mtu.
1.kasema zuchu ana nyimbo za kutosha huenda ikawa ni fact ila kwenye suala la "NYIMBO KALI" kidooogo Tafadhali.
2.Kusema wakaona wakati huu wa CORONA ndo wakati "SAHIHI" fikiria vizuri.
3.Ukimsifu diamond kwa kutumia nguvu kubwa kwa PUCHU kwamba hata insta ya diamond imekuwa kama fan page ya zuchu so ni Ku mbrand au kumsapot sidhan coz nguvu hiyo hatukuiona kwa msanii yyte wa WCB nadhani kaona kwa uimbaji wake na Muziki wa sasa inahitaji nguvu kubwa kumsukuma ama la itatokea kama ya lavalava na queen darlin dadaye.
4.Kusema PUCHU kwa muda mfupi kafika levo za NANDY,RUBY NA VANESSA ni kuwatusi hao madada coz hadi sasa kinamchombeba PUCHU si uwezo wa kuimba Bali ni FAN BASE ya WCB.
5.Kutengeneza brand ya kujitegemea haina maana kutoshirikiana na wenzako kwenye nyimbo zake kama n hivyo boss wao Diamond nadhani kwa TZ ndo msanii anaongoza kwa kolabo za nje sasa yy brand yake haijitegemei kwa kuwa hutegemea zaidi kushirikisha??
6.Si kweli kwamba zuchu kaiteka bongofleva hadi sasa kwateka mashabiki wa WCB kwa kuwa ni bidhaa yao mpya na wanataka waiingize sokoni kwa kishindo kusema ukweli hakuna alichofanya kilichoshtua tasnia zaidi ya kusainiwa wasafi na si kwa uimbaji ukizingatia ana tone ya taarabu katika mirindimo ya bongofleva.
TUKIRUDI KWA KIBA.
Mara zote jamaa mmekuwa mkimpuuzisha kwenye industry na kumfanya aonekane si kitu lakini katika mioyo nadhani ndo mpinzani wa Diamond anayeogopwa zaidi kuanzia na boss wao hadi shabiki wa mwisho kabisa wa WCB kwa sababu hadi sasa sijaona sababu ya kuendelea kumlinganisha DIAMOND na ALIKIBA kama kweli mnajiaminisha DIAMOND kamzidi Kila kitu ALIKIBA ni mpuuzi pekeyake ataendelea na kushindanisha watu wa uzani huo tofauti na hapo labda my admit kwamba KIBA NI MWIBA NA NDO MAANA MMEKUWA MKIMUANDAMA WAKATI WOTE.
Kuna hoja kwamba Kiba akimtoa msanii wake lazima aimbe nae Sina uhakika na hili coz k 2ga katoa "UNANIONA" na "HAWAPENDI" sidhan kama kuna sauti ya KIBA pale lakini sikatai GUBU na MASOZY kashiriki kwa hiyo huwa inategemea siyo kwamba ni lazima, Kila strategy hii ingetumiwa na DIAMOND ingepigiwa upatu na watu wa dizaini ya mtoa mada.
Kwamba wasanii wa Kings wakitoa ngoma wanakaa muda mrefu inaezekana ndo strategy yao wao and u can't force them to do like others au kama unavyoona ww inafaa,ki2ga alisikika kwenye masozy kaja kusikika tena kwenye hizo mbili na kapokelewa kwa stahiki yake si kama unavyotaka kutuaminisha kwamba wanaanza upya si kweli.
Kwamba Kiba kwenda intavyuu na wasanii wake si sawa..iangalie hii to both sides mzee attention inayokuwepo akiwepo KIBA na wakiwepo wasanii wake peke yao hata ww uambiwe intavyuu atakuwepo PUCHU au atakuwepo PUCHU na DIAMOND nadhani unaona kabisa uzito ni tofauti japo strategy hii angetumia Diamond mtoa mada ungepiga upatu.
Kwamba wasanii wa ALIKIBA Hawana matukio...why matukio?..acha Muziki uongee why matukio ili utengeneze attention?.. Kama unatengeza matukio ili usikike Basi huamini Muziki wako na unajua wazi bila matukio hausikiki.
Lastly bt not least Mashabiki wa WCB huwa mnahisi ua brilliant from top to toe bt not that,wakati mwingine mahaba mnapeleka mbele kuliko uhalisia na huwa mnataka kujiaminisha na kutuaminisha kwamba huu Muziki wa Tanzania kwa sasa ni Mali yenu maana mnaamini na mnataka kutuaminisha kwamba hakuna yyte NJE YA WCB anaeweza Muziki au biashara ya Muziki that's not true na tutaendelea kuwaweka sawa kila mnapoteleza kama huyu bwana mtoa huu ushuzi...TUKUMBUKE DODO IS STILL TRENDING there tchao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa unahangaika na nn wakati unajua ni suala lisilowezekana sawa sikijui nyie si ndo wazee wa IQ kubwa kubwa.Ungesifia WCB au Diamond ningeshangaa.Sometimes hata unachobisha hukijui.
Kwan pale WCB yeye alipikwa lini?