Sababu ya Diamond kuwazidi wasanii wenzake kwenye kutoa vipaji vipya


Kwa hiyo kuimba hapo kwenye hicho kiitikio inatosha kukwambia kwamba Diamond alimkuta Rayvanny kashatoka?

Au mimi sijaelewa.
 
na harmonize utasema umeanza kumsikia BSS
 
Wewe unaona hao uliowataja hapo,amefanya kazi ndogo,embu tuambie msanii mwingine aliyemtoa msanii kutoka chini na kumfikisha ngazi ya harmonize kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jamaa lina hasira za kuliwa hela za forex. Sasa lina vent kwa kum diss Diamond

Acha kukaa kihasara hasara
 
Huu ushabiki maandazi, unataka kusema hata kama rayvan katoka supernyota mbeya alikuwa na nguvu gan? Ya kusema diamond hajambrand? Mimi rayvan amekuwa mshikaji wangu from the scratch hata wewe hujamjua huko Tip top amefanya nyimbo kama Shikwambe huku huku mbeya!

Na ameenda Tip Top amekaa miaka si chini ya 4 lakini kwao hatumi hata jero hata nguo za kuvaa hana alikuwa anapewanguo na akina Tundaman Used anavaa Instagram yake followers walikuwa 300 na alipoingia WCB ndio katusua unataka kusema mond hajambrand!! Tatzo wabongo mna uchawi yaani hamtaki kuamini kuwa diamond ana uwezo mkubwa kuliko wasanii wote mnaowaweka nyie
 
Naona umemmaliza bila hata kutumia Mk47 akikujibu nitag
 
Hahahaha poleee Nandy kapita kwingi mpaka kwa Dully na Nandy amekaa sana WCB akachoka kuskilizia. Tatizo mnafikiri hizi blogs zinawapa kila habari.
Hata yeye mwenyewe nandy amewahi kusema alipitia pia WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…