Sababu ya Dube kuomba kuondoka Azam

Wewe choqo hukuwahi kuropoka hapa juu ya aliyoyafanya Fei yanga?. Au ndio ushakulia msumari?.
 
Wewe choqo hukuwahi kuropoka hapa juu ya aliyoyafanya Fei yanga?. Au ndio ushakulia msumari?.
Fei toto angewapiga tu kule CAS, bahati yenu Samia aliwaondolea aibu..

Utopolo masuala ya mikataba ya wachezaji yanawapiga chenga sana, nyie ni mbumbumbu huu ndio ukweli mtukane, mcheke, mnune au mlie.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kipindi Cha yanga Fei mlikuwa walopokaji wazuri kuwa Fei ana haki! Vipi Dube hana haki yakuomba mkataba wake kusitishwa?.
Ana haki Dube na Azam wana haki ya kutoa dau sio siasa. Sema unataka kiasi gani kulingana na mkataba mtu ajipime. Hii ni biashara.
 
Dube aombe kuvunja mkataba mushoqer ya Mo mnalialia ..
 
Labda akienda Yanga watantengeneza kwa mtalaamu ili kuondoa misumari, ila kwa Simba haitamsaidia sana
 
Labda akienda Yanga watantengeneza kwa mtalaamu ili kuondoa misumari, ila kwa Simba haitamsaidia sana
Yeah misumari dawa yake dini. Sasa kule kwa makolo wale vibwengo si watamuua kabisa.
Maana vijana wote wanachechemea.
 
Unaweza kufanya Mambo ya ajabu na usisingizie bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…