maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Haya tunayoyatumia humu nchini yanafika bandarini yakiwa yamesafishwa?Gharama ya kujenga kiwanda cha kuchakata hayo mafuta ni kubwa sana, na kiasi cha mafuta yaliyopo hapo Uganda hayataweza rudisha faida endapo yatasafishiwa hapo hapo Uganda,
Hope umenielewa japo mm sio mchumi,
Dangote anajenga chake kwa Dollar 12B, sawa na bajet ya mwaka mzima pale uganda na chenji unapata
Lakini mkulima anauza mahindi baada ya kutoa yanayomtosha kula. Lakini mafuta tunayauza hata kabla ya kutoa tunayotakiwa kutumia kwanza. Shida ni nini hapo?Nadhani hoja yako ni sawa na kwa nini mkulima auze mahindi badala ya unga!
Uko sahihi sana! Kosa lililofanywa na hasa Tanzania ni kutokukiendeleza kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aggip. Kiwanda kile angalau kingeweza kusafisha mafuta ya kutoshekeza Uganda na Tanzania!Lakini mkulima anauza mahindi baada ya kutoa yanayomtosha kula. Lakini mafuta tunayauza hata kabla ya kutoa tunayotakiwa kutumia kwanza. Shida ni nini hapo?
Uliza kwanza kwa nini gas ilitoka mtwara kuja dar wakati kuna bandari mtwara. Jibu ni ufisadi tu.