Prisonerx
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 681
- 1,792
Achana na nguvu ya papuchi hata Mh. Rais na ukauzu wake ila mbele ya papuchi anakuwa mdogo mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na nguvu ya papuchi hata Mh. Rais na ukauzu wake ila mbele ya papuchi anakuwa mdogo mno.
Na kweli aisee.Achana na nguvu ya papuchi hata Mh. Rais na ukauzu wake ila mbele ya papuchi anakuwa mdogo mno.
Mpeni heshima yake basi kwa usomi wake. Sio kila mwanamke anakuwapo juu sababu ya papuchiAchana na nguvu ya papuchi hata Mh. Rais na ukauzu wake ila mbele ya papuchi anakuwa mdogo mno.
Tunaomba CV yake bossMpeni heshima yake basi kwa usomi wake. Sio kila mwanamke anakuwapo juu sababu ya papuchi
ndo tunafidia zile iphone.Na kweli aisee.
Hivi huyu si ndo yule mdada aliibiwaga simu Simba Day huyu mpaka Mo akatangaza dau kubwa endapo simu itapatikana? au nimemfananisha?
Mkuu ulisemaje tena vileNimejaribu kusoma na kurudia tena andiko lako lakini sijaona sababu unayosema ya Senzo kuacha kazi!!
Mo ni mtu msomi na mwenye exposure nzuri tu, ana Manage kampuni kubwa na ametoa mchango mkubwa tu ktk kumleta Senzo mwenye professional yake ikiwemo na kumlipa mshahara mnono,
Sasa leo hii eti Senzo aondoke Simba kisa kamdada kamoja eti kamepeleka umbeya kwa boss kubwa basi ndio iwe sababu,, mbona umeichukulia taaluma na ajira ya Senzo kama deiwaka vile,, yaani ajira yake iwe kama dereva bajaji vile eenh!????
Au ndio mmekaa vijiweni kwenu huko mkalishana tango pori ukaona ukimbie mkukumkuku kuja kupost humu
Ahsante Mkuu
Hakuna simu iliyopotea hapo,ilikuwa utambulishoBosi anajali sana wafanyakazi wake! Anatuma hadi ukurasa wake kutangaza kutoa zawadi kwa atakayerudisha simu ya sekrati wake 😀!!!
Watu wanayajua ya ndani unaita majungu.Waswahili wanapenda majungu sana.
Yaani Barbara ni secretary?! Barbara yupi unayemsema wewe?! Yule dada sijui M-Colombia yule, sijui m-Brazil ndo unasema Secretary? Acha utani wewe!!
Leteni sababu zote mnazojua, msimu unaokuja Yanga anafungwa mara mbili kwenye ligi, na ubingwa unachukuliwa na Simba.
Tutajua Senzo alicholeta Yanga.
Tarehe 18/10/2020 hao Yanga ndio watafukuzana wote.
Basi huyo jamaa aliyekurupuka na kusema eti Barbara ni secretary itakuwa hamjui hata huyo Barbara mwenyewe!