Sababu ya Senzo kuacha kazi Simba S. C. hizi hapa

Sababu ya Senzo kuacha kazi Simba S. C. hizi hapa

Nimejaribu kusoma na kurudia tena andiko lako lakini sijaona sababu unayosema ya Senzo kuacha kazi!!

Mo ni mtu msomi na mwenye exposure nzuri tu, ana Manage kampuni kubwa na ametoa mchango mkubwa tu ktk kumleta Senzo mwenye professional yake ikiwemo na kumlipa mshahara mnono,
Sasa leo hii eti Senzo aondoke Simba kisa kamdada kamoja eti kamepeleka umbeya kwa boss kubwa basi ndio iwe sababu,, mbona umeichukulia taaluma na ajira ya Senzo kama deiwaka vile,, yaani ajira yake iwe kama dereva bajaji vile eenh!????

Au ndio mmekaa vijiweni kwenu huko mkalishana tango pori ukaona ukimbie mkukumkuku kuja kupost humu
Mkuu ulisemaje tena vile
 
Simba tulijichimbia kaburi wenyewe..

Simu hatukurudisha ...Ona Sasa mtu anafidiwa timu nono.. ,,[emoji1787]

Tafadhali, Mwenye hizo simu azilete ..haraka!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ongeza sauti ongeza sauti kuna watu kule nyuma hawajasikia vizuri.
 
Back
Top Bottom