Jina langu la nyumbani limenisaidia kuwakwepa polisi kwa zaidi ya Mara 4. Kila wakija kwa Jina langu linalotambulika na serikali hawanipatiMiaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili
Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu mtaan hawalijui
Lapili ni hili la nyumban/jina la utani mfano MADENGE hili litajulikana mtaa mzima mzazi ataitwa Mama/Baba madenge
Lengo la wazazi lilikuwa ni lipi?
Je ni Kutulinda kiroho jina halisi lisitumike vibaya na wenye nia mbaya na mtoto pale mtaani?
NB
Jina lako la utani ni lipi?
Kinachosababisha ufe kisa kutopewa jina ni ninJina la kwanza unapewa na wazazi na mara nyingi huwa la kimila
Jina la pili ni la kikoloni ambalo unapewa kwenye ubatizo kanisani
Kule uchagani kwa washika mila usipopewa lile jina lako halisi unaweza kuugua hadi ukafa, au unaweza kuwa tahiratahira hivi au ukawa huendelei kwa kutokupewa hilo jina.
Ndio hivo mkuu...ikitokea umezaa na mchaga hali ya mtoto ukawa huielewi itakubidi uwahi kwa wakwe zako mtoto anatulia siku hiyohiyoKinachosababisha ufe kisa kutopewa jina ni nin
Nyie wachaga tatizo mnaendekeza mizimu
Sielewi... Mizimu yenyewe siijuiAnatulizwa na mizimu au
🤣🤣🤣🤣Nimejikuta nacheka...daahMbwa tu ndio ana jina moja
Dada To yeye jina hili huwa linamaanisha nini?🤣🤣🤣🤣Nimejikuta nacheka...daah