Sababu ya wazazi kutupa majina mawili ni ipi?

Kuna majina ya ukoo/mila na majina ya kikoloni ubatizo/uislam

Enzi hizo mtoto akizaliwa tayari anakua na jina ukoo/mila linalomtambulisha
Majina haya ama yalikua ni kulingana na ukoo au mila au matukio ya wakati mtoto anazaliwa

Halafu sasa yanakuja majina ya kikoloni ambayo ndio yalikua RASMI kwenye documents za kiserikali

Sasa siku hizi mfipa wa Sumbawanga aliyezaliwa na mama Mdengereko na kukulia Tanga anakwenda kuona na Mnyaturu wa Singida aliyezaliwa na mama Mmakonde na kukulia Mwanza...... hayo majina ya ukoo/mila watayajulia wapi?
Wanatwanga majina ya kikoloni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…