JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Nakumbuka mwaka jana katika msiba wa Marehemu Regia Mtema nikiwa na member wangu wachache toka katika group ninalo administrate facebook tuliwasili pale. Lakini hatukuwa tumejipanga sana kutokana na vikwazo flani flani. Ukweli nilivutiwa na jinsi vijana wa JF walivyoonesha mshikamano na umoja wao wakiwa katika T-shirt za JF. Kile ndicho kilinipa moyo zaidi wa kujiunga na JF, japo ni kitu kidogo tu Tshirt lakini kilionesha moyo, umoja na nia ya dhati. Je waikumbuka sababu iliyokuvutia kujiunga?