JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
- Thread starter
- #21
mie, kwaiyo una maanisha naheshimu lile jukwaa kupita hapa
unatakiwa kuliheshimu kwakuwa limekuvuta hapa CC
mie, kwaiyo una maanisha naheshimu lile jukwaa kupita hapa
unatakiwa kuliheshimu kwakuwa limekuvuta hapa CC
Mhh... Ama kweli apewe hongera... Maana mchango wako JF Unaonekana
Jamani Donn kwa kweli namshukuru sana yani ningetamani hata nimjue.
Kweli amenisaidia sana.
Natamani hata nimjue japo kwa ID tu.
Mh nawe mchango upi!
Khaa...!!!
Jamaniii
Siasa ndio ilinifanya ni jiunge na jf tena kupitia kwa mtu aliye kuwa ana view kama guest!
Jf raha tupu!
nakusubiri huku kwenye PM
Ila ukikumbuka sababu iliyokuvuta hapa basi milele utaiheshimu JF. manoah Marry Hunbig
Hilo hata mimi limenikumba sikumbuki username ila password nakumbuka ikabidi nifungue hiiHii ishu ya kusahau ID imenikumba aise... manoah