JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
jukwaa la watu wakubwa lilinipelekea kujiunga jf cha ajabu sina kibali cha kuingia kule nimeishia chit-hat
jukwaa la watu wakubwa lilinipelekea kujiunga jf cha ajabu sina kibali cha kuingia kule nimeishia chit-hat, siasa dini , elimu na technology forum.
We manoah wee kiboko!
Yaani ulifahamu jukwaa la wakubwa kabla ya kujiunga Jf?
teh teh teh.... Hilo jukwaa mi nalisikia tuu....
hata mie nalisikia tu........ niliingia huko kama mara tatu ivi ila cha ajabu nguvu huni ishiaga kabisa na mapigo ya moyo yana enda chini
Member wa JF ambae simfahamu jina mpaka leo tulikutana pale Century Cinemax ndie aliyenishawishi nijiunge JF.
I love Him popote pale alipo ajue.
Much love kwake.
teh teh teh.... Hiyo nimeiwaza hapa... Najiuliza alikuwa anaongelea nini mpaka akatajiwa hilo jukwaa?
Hii ishu ya kusahau ID imenikumba aise... manoah
Ila ukikumbuka sababu iliyokuvuta hapa basi milele utaiheshimu JF. manoah Marry Hunbig