Sababu yangu kujiunga JF, je waikumbuka yako?

Mhh... Ama kweli apewe hongera... Maana mchango wako JF Unaonekana

Jamani Donn kwa kweli namshukuru sana yani ningetamani hata nimjue.
Kweli amenisaidia sana.
Natamani hata nimjue japo kwa ID tu.
Mh nawe mchango upi!
Khaa...!!!
 
Last edited by a moderator:
ni mimi hapa Madame B ndio ulinionaga, sema mie hua sipendi maujiko ndio maana nakaaga kimya, kwaiyo we njoo unipe kama shukrani tu hata mara sifuri na second -99999999999990 kama hutaki nakupiga BAN ya milele na vifaa vyako vyota navinyima ruhusa ya kuingia JF

Jamani Donn kwa kweli namshukuru sana yani ningetamani hata nimjue.
Kweli amenisaidia sana.
Natamani hata nimjue japo kwa ID tu.
Mh nawe mchango upi!
Khaa...!!!
 
Last edited by a moderator:
Hipo siku, time will tell

Jamani Donn kwa kweli namshukuru sana yani ningetamani hata nimjue.
Kweli amenisaidia sana.
Natamani hata nimjue japo kwa ID tu.
Mh nawe mchango upi!
Khaa...!!!
 
Last edited by a moderator:
Siasa ndio ilinifanya ni jiunge na jf tena kupitia kwa mtu aliye kuwa ana view kama guest!

Jf raha tupu!
 
Si kama hivi unachangia thread mbali mbali... Teh teh teh... Alafu huyo mtu ngoja nimuulize shem wangu stevoh ama Chimbuvu kama wanamjua Madame B
 
Last edited by a moderator:
Nothing more than jukwaa la siasa na lile la tech...nilitaka kutumia weledi na kipaji changu kupitia hapa JF.
 
kila nikiingia ofisini kwa boss wangu, namkuta yupo jf! na anataka kazi zake nyingine nizifanye, kumbe reason ni kushinda jf. nikaona nichunguze what is ol about?? ndio kuingia na kurogwa! sasa wote tumekuwa mateja, hakuna wa kumsaidia mwenzake!
 
Hii ishu ya kusahau ID imenikumba aise... manoah
Hilo hata mimi limenikumba sikumbuki username ila password nakumbuka ikabidi nifungue hii

kilichonifanya nijiunge na JF ni jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, nikiwa chuo kuna rafiki yangu alikuwa anapenda sana kuingia JF hasa hilo jukwaa basi na mimi nikavutiwa ila nimejifunza mengi na kama kucheka nacheka sana hasa hapa CC huwa nacheka mpaka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…