sasa naamini kila kitu kinasababu ya msingi kutokea. stevoh Rich woman Madame B cacico manoah watu8 ruttashobwala karibu ndugu yangu MzunguMndali
nini eti??
I'm so proud of you my bbyHilo hata mimi limenikumba sikumbuki username ila password nakumbuka ikabidi nifungue hii
kilichonifanya nijiunge na JF ni jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, nikiwa chuo kuna rafiki yangu alikuwa anapenda sana kuingia JF hasa hilo jukwaa basi na mimi nikavutiwa ila nimejifunza mengi na kama kucheka nacheka sana hasa hapa CC huwa nacheka mpaka
I'm so proud of you my bby
Anytime ..Thanks my dia....