Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Siyo kweli.Japo haisemwi sana lakini CCM inejibalance sana kidini. CUF kilikuwa na nguvu lakini kilionekana kama cha waislamu. CDM kilikuwa na nguvu lakini kilionekana cha wakristo. ACT kinaonekana kama cha waislamu. Lakini ukikiangali CCM ni ngumu kukipa sura ya kidini. Wapinzani wakiweza hapo watatoboa.
Chama chenye nguvu kiasi hicho. KitaibaJe kura ?!.
Uwe na nguvu ukatae tume huru ?!. Uwe na nguvu ukatae katiba mpya ya wananchi iliyo fair ?!