Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

Yule askari inabidi naye auawe kifo cha kikatili zaidi tena hadharani,.. Zifungwe kamba korodani zake halafu mdogo mdogo Boda boda ianze kuzunguka mitaani had full tank ya petrol iishe.. Tena afungwe mikono kwa nyuma halafu wamruhusu akimbizane na Boda bila kusimama siku nzima
 
So you are saying if I start fvcking my employer's wife I might get richer just like him?

Mmmhhh lemme finish this joint first.
 
Una uwezo Mkubwa sana wa ku Google materials HONGERA SANA kwa hilo
Ubarikiwe
 
Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika

Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
Ni utata juu ya utata....eti dhambi[Kivuli] inakuwaje ina mwegemea tu masikini.?!
 
Kivuli alicho beba Marehemu kiliwazuia kufanya chochote. Hata huyo mzungu mwenyewe. NI kama alikuwa pushed by an external force ambayo hata yeye mwenyewe hakujua inatoka wapi.
Why hiyo force isingetumika kwa Mweusi mwenzake? au Ingetumika kw a mweusi.mwenzie,hapo,unasema.nin I.ndugu?
 
Kila mtu anakufa kifo chake.Na lazima kila kifo kiwe na sababu,aidha iwe sababu inayoeleweka au yakipuuzi.Hayo mengine ya vivuli ni porojo tu za watu hakuna chochote.
Kwa mbali lakini...Lakini Star Wa Pono,yuko tofauti na stars wa mambo mengine au ?
 
So you are saying if I start fvcking my employer's wife I might get richer just like him?

Mmmhhh lemme finish this joint first.
Kama kuna tajiri wa namna ile,ana.enjoy maisha kabisa...
 
Ila alikuwa anawasokomeza jamaa
Kwa mtindo.huu Uzi utafika mwisho,tofauti na hapo,kwa mbali hadhi ya Sticky nainusa.Uhai wa mtu ni habari tata sana,kwamba ni yupi mwenye haki ya kuutwaa.
 
Wale waliokuwa wanachukua video walishindwa kusogea wote pale? Maana walikuwa wakimsemesha anawatishia bunduki sauti zinatoka walikuwa wengi, ila walifanya uzembe sana
Yani mtu anawatishia bunduki huki yeye anaua mtu mwengine. Tatizo Ulaya hamna mawe tu ila wameshindwa hata kumpiga na viatu kama George Bush 🤣🤣🤣?

Mungu aniepushie na dhahama ila kwa kizazi tulichonacho clip inaonekana ni kitu cha maana kuliko rescue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…