NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 598
Makande ya njombe hushibi, unaacha kula baada ya kuchoka kutafuna.Aaaah haya mambo huwaga mnatunga mkiwa mmeshiba makande Ya Njombe nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Makande ya njombe hushibi, unaacha kula baada ya kuchoka kutafuna.Aaaah haya mambo huwaga mnatunga mkiwa mmeshiba makande Ya Njombe nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wapare chakula chao ni makande.Una utani na wabena ww hiki ndio chakula yao ya asili 🙄🙄.Njombe ndio zao makande .
Vipi na scorpion wa buguruni mliingilia au aliwazidi nguvuSikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na wake wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana age mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
U have understood my message the opposite way.Kama ni hivyo, watu wangekuwa wanawatafuta wake za watu waliofanikiwa, Mtu aliefanya ngono na wake za matajiri na wake za mafukara, atatajirika au atalost? Za kuambiwa ongeza na za kwako.
Hii nadharia ya kufirika.Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika
Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Solomon si ndo mfalme suleiman aliezini na yule malkia wa ethiopia? Na anaongelea mzinzi hana akili!
Hoja hii huyo mzungu asiisikie, la sivyo shitaka litabadilishwa kuwa ana matatizo ya kiakili, na mashitaka yatupwe.Kivuli alicho beba Marehemu kiliwazuia kufanya chochote. Hata huyo mzungu mwenyewe. NI kama alikuwa pushed by an external force ambayo hata yeye mwenyewe hakujua inatoka wapi.
Ha ha ha ha wazee kule Njombe unakuta saa 12 asubuhi anamka na makande, viazi na maandazi Ya ngano ghafi (rangi Ya hayo maandazi huwezi kuyatamani)Makande ya njombe hushibi, unaacha kula baada ya kuchoka kutafuna.
Polisi tu huwa kama zimepungua akili dunia nzima, polisi hufanya mambo ya hovyo.Hapa kwetu waliua mwembe chai watu walioshika mabango wasiomdhuru mtu ,mwangosi alipigwa Bomu.Kila, soku polisi hapa home hupiga watu na kuwaumiza Hio ya marekani ni kwa sababu imerekodiwa na anafanya mzungu.Polisi duniani ni devel army!Sikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na wake wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana age mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
Atakuwa amebeba kivuli cha mume wa zamani wa Kellie Chauvin.Na huyo mzungu kabebakivuli cha nani
Ule unaitwa mkate wa kikinga au bumunda.Ha ha ha ha wazee kule Njombe unakuta saa 12 asubuhi anamka na makande, viazi na maandazi Ya ngano ghafi (rangi Ya hayo maandazi huwezi kuyatamani)
Sent using Jamii Forums mobile app