Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

So you are saying if I start fvcking my employer's wife I might get richer just like him?

Mmmhhh lemme finish this joint first.
Matajiri wengi Wana damu za watu Kwa ajili ya upuuzi kama kafara nakadhalika. So wamebeba vivuli vya mauti . Wake zao pia wamebeba vivuli hivyo kupitia Waume zao hao.

Ukilala na MKE WA tajiri kivuli chake cha mauti kinakuja kwako.

He will send some thugs to shoot you dead and that will be the end of your story.

So be very very careful..

Don't get it twisted.

U can never manipulate the spiritual laws into Ur favour.

Kufanya zinaa na Mwanamke ni Sawa na kupanda daladala.
Unapo panda daladala ingawa unapanda bure Ila Mwisho WA siku lazima ulipe Deni.
 
Unaisolve vip hii mkuu tupe darasa kidgo au once done there is no correction point. Tafadhali jazia nyama hapo mkuu utupe maarifa.
 
Kusadikika
 
MWANAUME MZINZI HANA AKILI HATA KIDOGO, KWA SABABU ANA IANGAMIZA NAFSI YAKE MWENYEWE". [emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Kunaweza kua na ukweli mkubwa ndani yake lakini sasa; ngumu kupokea. Dawa chungu lakini ndio tiba.....
 
we mleata uzi ni muongo. Lete ushahidi kuwa yule jamaa alikuwa porn star


Jesus is Lord!
 
Haya Mambo ya universe super natural power.Thus Jesus alisema ukimtamani mwanamke ushazini nae, means kuna spiritually internal emotional bind.
 
Kwa dakika 10 wa kulaumiwa hapo ni waliokuwa wakishuhudiwa.
Jamaa alifanya kosa gani Hadi akakamatwa
 
Huyu mzungu Derek chauvin ana roho ya umauti uuaji, ukatili na chuki dhidi ya black hata ukiusoma uso wake na si Mara yake ya kwanza ameshawahi kuattemp killing of blacks.
 

Attachments

  • FB_IMG_1590692633471.jpg
    20.1 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1590826519347.jpg
    18.4 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1590826908797.jpg
    41.6 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1590826848691.jpg
    27.6 KB · Views: 12
Muuaji anayo haki pia.kule sio sawa na huku kwenye mibambiko ya maagizo sababu huna chapa au umegoma kuabudu msalaba,unakaa ndani 7 yrs then DPP anaagizwa kusema jamhuri haina haja kuendelea na kesi so uko huru bila fidia for 7 yrs.Au unakaa mahabusu 7 yrs ukisubiria ushahidi hukumu inatoka unafungwa 3 yrs so jumla umefungwa miaka 10 na huna pa kushtaki.
 
Mkuu najaribu kukuonesha makosa madogomadogo ili kuua kosa kuu.Mantiki ya hasira hapa ni ubaguzi uliokithiri na sidhani kama a utaeleweka vyema kuonesha George Floyd alikosea.
Karma mayo ina nguvu huenda ikawa ndiyo iliyomfuata na hata aliyemuua itamfuata tu "vicious cycle of karma".Nikirudi juu ulichotaka kukijenga hapa naona ni kama unatuoneshea makosa ya marehemu, makosa ambayo sisi siyo watoa jukumu kwa sababu tutasubiria pia kuhukumiwa.
Back to line ni kwamba ubaguzi uliokithiri ndiyo tatizo haswa na ndilo linalopaswa kupingwa na kila Mwanadamu.
 
Kama ni hivyo, watu wangekuwa wanawatafuta wake za watu waliofanikiwa, Mtu aliefanya ngono na wake za matajiri na wake za mafukara, atatajirika au atalost? Za kuambiwa ongeza na za kwako.
 
๐Ÿ™„๐Ÿ˜ฎ
So ina apply hata to those who do it protected/cdm au ni wale tu who hit it raw๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ