Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

Atakuwa amebeba kivuli cha mume wa zamani wa Kellie Chauvin.
Kellie Chauvin ni mke wa sasa wa huyu polisi aliyemuua George Floyd.
Huyu polisi muuaji (Derek Chauvin) alioana na Kellie baadaye lakini kabla ya hapo Kellie alikuwa na mume mwingine.
Ila huyo mwanamke nae kaomba talaka rightaway bila delay yani duh
 
Ukiwa na mentality hyo kwamba matajir hupitia kafara..
Matajir pesa zao zina damu...
Utajiri ni uovu...

Utajiri kwako utausikia kwa bomba because of what you think,na kuwa makini kwa hayo mawazo unaweza kuwa mchawi,mnafik au maskini wa kutupwa .
 
mleta mada yuko sahih kwa asilimia flan japo sijaligutilia kwa ukaribu lakini hata mtume S.A.W aliwahi kusema zinaa huleta ufukara...

Ni kweli kabsa pia alisema zinaa ni deni haliepukiki,....

Na Allah,akasema " na wala msiikaribie zinaa hakika hio ni njia chafu"

But mleta mada hayupo sawa kutokana na mtazamo wake alioubeba,hana reference ata kidogo.
 
Shida ni kwamba mkimvamia huyo askari mnaweza kumwokoa victim ila mtageuziwa kibao au akawapiga risasi kabisa "mlikuwa mnamzuia askari kutekeleza majumu yake". How at the end would you prove kwamba victim angekufa? Haiwezekani.

So ili kuepuka kugeuziwa kibao au kupigwa risasi wakati askari akitekeleza makukumu yake aliyosomea busara ilikuwa ni kumwacha tu kuokoa maisha ya wengine wengi ambao wangeweza kuuwawa kwa kuvamia.

Wale mashuhuda walikuwa sahihi kwa mazingira yale; ingekuwa muuwaji ni raia sio askari tungekuwa na haki ya kuwalaumu mashuhuda kwa uzembe.
 
Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika

Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
Mbona hili lipo sana reference yule msanii wetu namba moja bongo, kafatilie mahusiano yake utajua, kawatumia wanawake wengi kama daraja la kuwa pale bila wao wenyewe kujua, kuanzia yule miss (ubaya sepetoo) , yule mtangazaji hadi yule dada wa nchi jirani (la mentali) na wengine kibao , wote walikuwa na nyota za kumfikisha hapo alipo, tatizo ni kugundua yupi ana hiyo roho maana kudondoka ni suala la muda tu.
 
Tell him
 
Ukiwa na mentality hyo kwamba matajir hupitia kafara..
Matajir pesa zao zina damu...
Utajiri ni uovu...

Utajiri kwako utausikia kwa bomba because of what you think,na kuwa makini kwa hayo mawazo unaweza kuwa mchawi,mnafik au maskini wa kutupwa

.
Ur still a learner
 
Dah....mwenye namba ya Melinda anisaidie tafadhali[emoji2960]
 
Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika

Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
Negative mentality is a killer disease
 
Ukiwa na mentality hyo kwamba matajir hupitia kafara..
Matajir pesa zao zina damu...
Utajiri ni uovu...

Utajiri kwako utausikia kwa bomba because of what you think,na kuwa makini kwa hayo mawazo unaweza kuwa mchawi,mnafik au maskini wa kutupwa

.
Maskini wengi wanasumbuliwa na negative energy.

Na huyu jamaa anapandikiza negative energy kwa nguvu zote
 
Kwahiyo Leo hii nikipata chansi ya kulala na kwini Elizabeth basi nafsi na nyota yake ya utajiri na fame vinakuja kwangu. Just simple like that bro aah?
 
Kwahiyo Leo hii nikipata chansi ya kulala na kwini Elizabeth basi nafsi na nyota yake ya utajiri na fame vinakuja kwangu. Just simple like that bro aah?
Unaota? Amberutty Tu hawezi kuitikia hata salamu yako and ur thinking about the queen... Mafi yako
 
Asante Mkuu nimekuelewa sana .Wengine hawawezi kukuelewa na hili halipingiki.Nimetoka kuangalia video yake moja kabla ya mauti. R.I.P Big Floyd
 
Wewe umeniogopesha ni balaa. Nikuambie kitu ndugu yangu? Kwa upeo wako huu ulionao ukiamua kuwa mlokole hakuna kilicho kinyume na mapenzi ya Mungu kitakachokugusa, na utaona mambo makubwa sana na ya ajabu sana. Nakuambia haya kwa sababu mimi ni mlokole, nimeingia Kanisani juzi tu na nilikuwa NIL kabisa kwenye ulimwengu wa roho, nilikuwa sijui hata kama pepo yupo. Siku ya kwanza nawaona Kanisani watu wanakemea mapepo, nikaona kama wanafanya maigizo tu ya kuwavutia watu na kuonyesha kuwa wako Kanisani. Sasa najiuliza, ningeanza nikiwa na ujuzi kama huu wa kwako, possibly sasa hivi ningekuwa namkaribia Eliya!
 
Solomon si ndo mfalme suleiman aliezini na yule malkia wa ethiopia? Na anaongelea mzinzi hana akili!
Ni kweli ila alikuwa na hekima ya pekee sana. Mungu alimuuliza ampe nini, yeye akajibu hekima, hakutaka mali!
 
Msome vizuri hilo swali lako ndiyo limemfanya aandike habari karibia yote hiyo akiwa analijibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…