Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

Alikuwa na wake 300 na masuria 700
I like your signature: I love to Contemplate Contemplating
Inanikumbusha swali la Lecturer siku moja tukiwa darasani aliuliza: how do you people think? Halafu akawahi tena kabla watu hawajajibu akasema "not what" but how. Sasa hapa mimi najiuliza, how do you contemplate contemplating? "Not what" but how?
 
Waafrika sijui tutajikomboa lini kwa fikra hizi?? Mwenzenu kauliwa na nguruwe weupe, nyinyi mnatumia vitabu vya dini za wazungu (nguruwe) hao hao kuhalalisha mauaji ya mwenzenu.

Mzungu ashaturoga na dini akamaliza[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Haya mmesikia nyie mababazi ya mjini.... kwamba zinaa inabeba dhambi na dhambi ni mauti...
 
Waafrika sijui tutajikomboa lini kwa fikra hizi?? Mwenzenu kauliwa na nguruwe weupe, nyinyi mnatumia vitabu vya dini za wazungu (nguruwe) hao hao kuhalalisha mauaji ya mwenzenu.

Mzungu ashaturoga na dini akamaliza[emoji57][emoji57][emoji57]
kuwa ukweli flani kwa alichoandika, kwa mujibu wa biblia
hata mzungu aliyemuuwa kuna sehemu flani ya maisha yake yana giza na kapelekwa kumuuwa mwenye giza mwenziwe
UKISOMA BIBLIA UTAONA NAMNA MKUU WA MAJESHI YA DAUDI alivyouwawa ila ni baada ya yeye pia kuwa amewauwa watu wasio na hatia, kule kuuwawa kwa huyu general kulikuwa ni lazima ili neno litimie
 
Tell him
 
WE JAMAA MUONGO MUONGO SANA. WHY UNAFANYA UTAPELI WA MACHO MACHO HIVI? GEORGE KAFA KIFO CHAKE.KAFA CHA MWINGINE NANI?ACHA UONGO.
 
Mbona kuna jamaa yangu yeye hachagui mradi dem awe na tako mbona afilisiki?hakuna bar aloacha bar med mzur na maisha yake yapo vilevile
Yeye anabahati hao madem walikuwa wanachukuliwa na matajili ndio maana hafilisiki
 
Kwa hiyo tajiri akifanya mapenzi na maskini ndo anabeba kivuli cha maskini mwisho anafilisika

Lakini maskini habebi kivuli cha tajiri na yeye atajirike.au nimeelwa vibaya mleta mada
naomba nikazie hapo,tena kwa sura ya huyo mzee kwenye avatar yako[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mimi najiuliza hili,

Kwa nini mke wa mtu asiye na mafanikio akitembea na yule na mwanaume mwenye mafanikio, huyo mwanamke asibebe kivuli cha mafanikio akampelekea mumewe fukara?


Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Kwa uzi huu ngoja nianze kula watoto/wake wa kishua kumbe naweza toboa life.

Nitembee na kivuli Cha matajiri
 
Hamna walipoandika alikuwa pornstar hapo, yani fanatics wote mna matatizo, kuanzia walokole, wachawi na wengineo, kila kitu mnakiangalia kwa muono mnaoujua ninyi, mnakera sana
 

Attachments

  • Screenshot_20200818-154025.png
    43.7 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…