Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

Uyasemayo yanafanana na ukweli.Bi samia ana bahati ambayo inaweza kutokea mara chache sana.
watanzania tutatembelea nyota yake ya bahati. kwa kawaida nyota na tabia ya kiongozi mkubwa wa nchi au mfalme huwa inakuwa reflected kwenye nyota na tabia za watu anao waongoza. Mifano ipo mingi sana
 
Ndio sababu amesema sababu ,za" kiroho " yaan mambo yanatokea hata hujui kwa nini yameyokea hivo , rais asinge fariki mama asingekalia kiti.
asante mwalimu
 
Umeongea kitu mguso sanaaa ila swali Je, ataweza mikiki ya kupangiwa cha kufanya na kuwekewa mipaka ya hiki usiguse ni cha Fulani, Namna utendaji wa Mzee wetu ulihitaji Ujasiri wa hali ya juu mno muhimu tuzidi kumuomba Mungu tu na kumuombea JOHN P MAGUFULI apumzike kwa Amani maana kama kazi kaifanya haswaa, Mungu ibariki Tanzania na ukambariki kiongozi wetu mteule Rais SAMIA S HASSAN
 
k
 
Duuh!!
 
Huyu mama asijekutugeuka tu, yatamkuta yaliyomkuta aliyemtangulia. Asije akasema hajaambiwa.
 
Huyo Mama makandokando yake tunayo msitake tuanze mashambulizi wakati wa msiba.

Personally I would be glad hayo makandokando yashuke right this moment! Short of that wengine watasema ’majungu!’

Just a personal wish anyway!
 
Mama Samia Hajachaguliwa na Mungu ni Takwa la Katiba...isome katiba inasemaje kuhusu Rais aliye madarakani akifa nani anashika uongozi wa nchi na kwa namna gani....


Would you still be in denial if the Hands of nature took its course and they both become “the late”

Life has a meaning only to the ones who consider it’s meaning!
 
Mkuu,

Hata kupendekezwa kuwa mgombea kuna mlolongo mrefu kapitia, tunaheshimu msiba tu kukataa kuanza kujadili makandokando hapa.

We are giving her a chance to see if she can reform.


I honestly thought with the passing of “our dear” president then we would learn not to hold things for the after?!?

Yatoeni watu wajue otherwise “watu” watayahesabu kama maneno tu na si reality!

All the best to the “Chief in Command!”
 
hujapenda kufikiria mkuu. Mungu asingemuita Magufuli then Mama Samia asingeweza kuwa Rais leo hii. so nasisitiza Mama Samia ni chaguo la Mungu


Somehow I’m convinced to believe your statement!

Otherwise in another world, I would consider this superstition!
 
Mungu gani amemchagua Samia Suluhu Hassan? Kama kura si walipigiwa wote yeye na Magufuli?

Kama waliiba si waliiba wote? Au umesahau kama Samia alikua mgombea mwenza?
Mkuu huo ndio ukweli Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…