Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.

In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.

Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.

Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact
 
Attachments

  • FB_IMG_1580187397015.jpg
    FB_IMG_1580187397015.jpg
    34.5 KB · Views: 3
Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact
Kwanini hilo pigo/adhabu inawapata raia wa kawaida wa China na sio viongozi wakubwa wa Serikali na chama tawala cha kikomunisti walioendesha hiyo dhulma?
 
Huyo corona akisambaa hadi nchi za kiislamu utasema nini tena,
Kama Huyo Allah anaweza kuwaadhibu watu wasio na hatia huko China (maana wanaokufa sio wale waliochoma Quran) basi Allah hakuhusika kwenye uumbaji lazima kuna Mungu mwingine tofauti na huyo aitwaye Allah
 
We jamaa matukio mengi unaandika opinions zako, sikatai. Sasa corona imetokea China na ishasambaa nchi zaidi ya kumi nini maana ya adhabu ya Allah. Na unataka kusema wale raia ndo walichoma Qur'an, mbona rais bado yupo na viongozi waandamizi. Na sisi Ebola huwa tunadhibiwa kwa kosa lipi
 
Huyo corona akisambaa hadi nchi za kiislamu utasema nini tena,
Kama Huyo Allah anaweza kuwaadhibu watu wasio na hatia huko China (maana wanaokufa sio wale waliochoma Quran) basi Allah hakuhusika kwenye uumbaji lazima kuna Mungu mwingine tofauti na huyo aitwaye Allah
... excellent argument!
 
Naimagine walichofanyiwa muslims china wangefanyiwa na nchi nyingne ya ulaya...pasingekalika...

Ila mchina naona mnamuogopa sana muslim.
... Buddha hanaga masikhara na ameishi na hao jamaa mamia ya miaka anawajua vilivyo! Ni urafiki wa kinafiki tu wa viongozi hakunaga lingine mioyoni wamejaa chuki mbaya sana.
 
Back
Top Bottom