Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Thwali dhuri thana!Sasa hicho kirusi hakiwapati waislamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thwali dhuri thana!Sasa hicho kirusi hakiwapati waislamu?
Adhabu inapokuja hua haichagui pengine mpaka hao waislam pia hua inawapitia pia.....Kwanini hilo pigo/adhabu inawapata raia wa kawaida wa China na sio viongozi wakubwa wa Serikali na chama tawala cha kikomunisti walioendesha hiyo dhulma?
Umemalizia vizuri sana. Point ndio hiyo hiyo, it may not be a fact.Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.
Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.
Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.
This is my personal opinion. It may not be a fact
Siikweli kweli mtaongea sanaTunashukuru kwa mawazo yako, ila heading ya uzi wako ni kubwa sana kuliko ulichokiandika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.
Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.
Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.
This is my personal opinion. It may not be a fact
Japokuwa mimi ni mkristo lakini nakubaliana na wewe kwa %1,000,000,000 kwa sababu Kitabu chochote kile kinachozungumzia kuhusu uwepo wa MUNGU kinakuwa na pumzi ya MUNGU,
Na siyo Quran tu hata Biblia zimechomwa sana moto huko China, Wachina ni kizazi cha nyoka kinatakiwa kitoweke kabisa Duniani.
Ni Wachina ndo hulea Madikteta ya Africa kwa manufaa yao, pumbavu sana wachina acha Corona iwamalize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naimagine walichofanyiwa muslims china wangefanyiwa na nchi nyingne ya ulaya...pasingekalika...
Ila mchina naona mnamuogopa sana muslim.
Uongo kuna vitoto vilikufa ata avijui sababu isipokuwa UMISRI wao ndio uliwauaKingewapata walioshiriki tu tungeamini kumbuka yaliyompata Farao yalikua yanamlenga yeye tu
Sijui mnafikiri kwa kutumia kichwa kipi ?Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.
Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.
Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.
This is my personal opinion. It may not be a fact
Japokuwa mimi ni mkristo lakini nakubaliana na wewe kwa %1,000,000,000 kwa sababu Kitabu chochote kile kinachozungumzia kuhusu uwepo wa MUNGU kinakuwa na pumzi ya MUNGU,
Na siyo Quran tu hata Biblia zimechomwa sana moto huko China, Wachina ni kizazi cha nyoka kinatakiwa kitoweke kabisa Duniani.
Ni Wachina ndo hulea Madikteta ya Africa kwa manufaa yao, pumbavu sana wachina acha Corona iwamalize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingewapata walioshiriki tu tungeamini kumbuka yaliyompata Farao yalikua yanamlenga yeye tu
Kiongozi kushuhudia raia wako wanakufa kwa maradhi na huna la kuwafanya, kushuhudia khofu kubwa kwa walio hai, raia wa mataifa mengine kujizuia kuingia nchini mwako kwa sababu ya maradhi, kuwekewa ban ya kuingia mataifa mengine kwa sababu ya maradhi, kujizui kula vyakula mnavyopenda, kujizui sherehe , na kufunga miji na huduma, na mengine mengi.... nadhani ni punishment kubwa kwa watawala kuliko kufa.Kwanini hilo pigo/adhabu inawapata raia wa kawaida wa China na sio viongozi wakubwa wa Serikali na chama tawala cha kikomunisti walioendesha hiyo dhulma?
Ni kweli mkuu! Hiyo pia ni adhabu tosha.Kiongozi kushuhudia raia wako wanakufa kwa maradhi na huna la kuwafanya, kushuhudia khofu kubwa kwa walio hai, raia wa mataifa mengine kujizuia kuingia nchini mwako kwa sababu ya maradhi, kuwekewa ban ya kuingia mataifa mengine kwa sababu ya maradhi, kujizui kula vyakula mnavyopenda, kujizui sherehe , na kufunga miji na huduma, na mengine mengi.... nadhani ni punishment kubwa kwa watawala kuliko kufa.