Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.

In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.

Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.

Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact

Sababu za “Kiroho”?

Aisee umejaa “conspiracies” mno!

Relaxx
 
Mbona Mmarekani ishaua sana waislamu huko middle east lakini hakuna kiluchotokea acha feelings za wafia dini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa ISTIDRAAJ katika lugha ya kiarabu mana yake KUPURURIWA. Mtume anasema :
"Utakapomuona mja anapewa ayapendayo katika dunia pamoja na kufanya kwake maovu basi jua hiyo ni istidraaj, kisha akasoma maneno ya Allah : Basi walipoyasahau yale walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo furahia yale waliyo pewa tuliwashika kwa ghafla, na mara wakawa wenye kukata tamaa
 
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit. [emoji120][emoji123][emoji109]
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.

In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.

Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.

Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact

Jr[emoji769]
 
Maradhi yakimpata mtu mwema inakua ni mtihani kwake na majaribio pamoja na kufutiwa dhambi,
na yakimpata muovu inakua ni ukumbusho kwake kurudi kwa Mungu,
na kuna waovu wengine wanaachiwa wastarehe bila kupata onyo ili siku wakikata roho adhabu iwapate kisawasawa
Acheni ulevi wa kiimani ingawa sijui wewe ni dini gani. Msitake kufanya imani ziwe complicated hivi. Kitu kilekile kikitokea kwa mtu huyu kinakuwa treated tofauti na kwa mwingine. Sasa utajuaje kama kwa Wachina hii ni adhabu au kufutiwa dhambi.
 
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.

In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.

Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.

Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact
Japokuwa mimi ni mkristo lakini nakubaliana na wewe kwa %1,000,000,000 kwa sababu Kitabu chochote kile kinachozungumzia kuhusu uwepo wa MUNGU kinakuwa na pumzi ya MUNGU,
Na siyo Quran tu hata Biblia zimechomwa sana moto huko China, Wachina ni kizazi cha nyoka kinatakiwa kitoweke kabisa Duniani.
Ni Wachina ndo hulea Madikteta ya Africa kwa manufaa yao, pumbavu sana wachina acha Corona iwamalize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa matukio mengi unaandika opinions zako, sikatai. Sasa corona imetokea China na ishasambaa nchi zaidi ya kumi nini maana ya adhabu ya Allah. Na unataka kusema wale raia ndo walichoma Qur'an, mbona rais bado yupo na viongozi waandamizi. Na sisi Ebola huwa tunadhibiwa kwa kosa lipi
Ebola mnaadhibiwa kwa kosa la kugoma kuitoa madarakani CCM Shetani kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miye hapo ndo huwa najiuliza kama hii dini yangu pendwa imekwamia wapi??
Muumini wawezaje kuwa na mawazo finyu kihivi?? Yaani, Allah huyu mkali kihivyo, apigaye bila huruma, aangamizaye bila huruma, na hachagui mwema wala mwovu!! Dah!
Sasa, ameamua kusafisha mji mzima kwa hasira ya viongozi walioichoma quran tukufu!! Hicho kitabu ina maana hata ikinyesha mvua hakinyeshewi??
Mbona nikikiangalia hapa ndani kwangu nakiona ka kitabu cha kawaida sana> Nadhani we must respect the book but not so much, Muumba hawezi kuangamiza mji kwa sababu ya kitabu
 
Ninaposo,a UZI wako kuhusu source ya kirusi hiki halafu pia napitia UZI mwingine kama hu Corona Virus was patent in 2007 and then nakumbuka pia wewe mwenye IMANI hi huaga mnawaita USA kama Makafiri na makafiri hao hao ambao kwa kazi hi umeona kama imefanywa na mnyaazimungu, then nachanganyikiwa, kwanini mnyaazimungu amtumie kafiri kufikia lengo lake?
 
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.

In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.

Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.

Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.

Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.

This is my personal opinion. It may not be a fact
Acha ulongo wewe
 
Inawezekana hakumkataza na kosa hilo kwa hiyo na yeye anaadhibiwa kwa kosa lake hilo , kisha siku ya qiyama kila mmoja atalipwa kwa matendo yake. Nakutolea mfano:
Kwanini wewe akikutafuna sisimizi mmoja tu unawauwa wote?
Mjenzi aliefanya kosa katika ujenzi, siku likiporomoka wote waliokuwemo humo huangukiwa, jee ndio tuseme Mungu amekosea, la hasha amefanya hivo kwa hekima yake , yeye ndie alietuleta duniani wakati tulikua hatupo, siku akiamua kuchukua chake hakuna wa kumlaumu

🙄🙄
 
Waislamu acheni kutafuta kiki kwenye Corona, hayo mateso ya waislamu na wakristo huko China hayajaanza leo wala jana, kabla wewe hujazaliwa Biblia na Quran zilikuwa zinachomwa huko China.

Ni kweli Mungu atawaadhibu ila sio leo wala kesho ni mpaka JUDGEMENT DAY, bado wachina wana nafasi ya kutubu pamoja na watenda dhambi wengine wote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom