Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.
Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.
Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.
This is my personal opinion. It may not be a fact
... akikujibu nistue kiongozi.Sasa hicho kirusi hakiwapati waislamu?
... akikujibu nistue kiongozi.
mkuu kuna siku ulisema ulipatwa na mikasa ya majini na ukakiri YESU alikuponya na kua utatupa details zaidi ya kilichokupata.Tupatie basi mrejesho.Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit.
In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho.
Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa Allah.
Kwanini: Serikali ya uchina licha ya kuwaua na kufanya dhulma kubwa Sana dhidi ya waislamu wa China lakini pia imefanya kufuru kubwa Sana dhidi ya uislamu. Moja Kati ya kufuru zilizo fanywa na Serikali ya uchina dhidi ya uislamu ni pamoja na kuchoma Quoran Tukufu.
Hicho kirusi ni pigo na adhabu kutoka Kwa Allah.
This is my personal opinion. It may not be a fact
... mwisho wa dunia lini Mkuu?Shida yao ni kutotambua aidha kwa kujua au kutokujua kile Mungu alichosema kuhusu kipi kiliwe na kipi kisiliwe na hayo ndiyo matokeo yake. Mungu alishasema hivi
LAW. :11:13
Kisha katika ndege hawa watakuwa ni machukizo kwenu; hawataliwa, ndio machukizo; tai, na furukombe, na kipungu;
LAW. :11:19
na korongo, na koikoi kwa aina zake, na hudihudi, na popo.
Tukisema hivi wanaibuka watu kusema wasabato hivi wasabato vile wanasahau siyo wasabato ila ni Mungu mwenyewe
... mwisho wa dunia lini Mkuu?
Adhabu ikija haichagui... akikujibu nistue kiongozi.
... adhabu haichagui kwamba wote (waliokuwemo na wasiokuwemo) wataathirika siyo? Kwanini kosa la mwingine asiyehusika naye aadhibiwe?Adhabu ikija haichagui
Allah anasema:
25. Na iogopeni Fitna ambayo haitowasibu walio dhulumu peke yao kati yenu. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu.
Ikiwa kuna watu wanafanya maovu na hakuna anaewakataza basi adhabu ikija haichagui
... Bi Ellen White na wenzie walishatueleza itakuwa lini Mkuu.Hakuna ajuaye hiyo mkuu, ni siri ya Mungu,sisi tunapaswa kujiandaa kila muda kana kwamba anarudi leo ila kuweka mipango yetu pia ya maisha kana kwamba atarudi miaka 100 ijayo.
Inawezekana hakumkataza na kosa hilo kwa hiyo na yeye anaadhibiwa kwa kosa lake hilo , kisha siku ya qiyama kila mmoja atalipwa kwa matendo yake. Nakutolea mfano:... adhabu haichagui kwamba wote (waliokuwemo na wasiokuwemo) wataathirika siyo? Kwanini kosa la mwingine asiyehusika naye aadhibiwe?
Maradhi yakimpata mtu mwema inakua ni mtihani kwake na majaribio pamoja na kufutiwa dhambi,We jamaa matukio mengi unaandika opinions zako, sikatai. Sasa corona imetokea China na ishasambaa nchi zaidi ya kumi nini maana ya adhabu ya Allah. Na unataka kusema wale raia ndo walichoma Qur'an, mbona rais bado yupo na viongozi waandamizi. Na sisi Ebola huwa tunadhibiwa kwa kosa lipi
... Bi Ellen White na wenzie walishatueleza itakuwa lini Mkuu.
Mifano katika Quran na hadithi ipo mengi tu Allah anafanya atakavyo, kuna watu wa aina tofautiMbona Mmarekani ishaua sana waislamu huko middle east lakini hakuna kiluchotokea acha feelings za wafia dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia post zangu za nyumakwa hiyo hicho Kirusi kinaua wasio Waisilamu tu?