Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China


Sababu za “Kiroho”?

Aisee umejaa “conspiracies” mno!

Relaxx
 
Mbona Mmarekani ishaua sana waislamu huko middle east lakini hakuna kiluchotokea acha feelings za wafia dini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa ISTIDRAAJ katika lugha ya kiarabu mana yake KUPURURIWA. Mtume anasema :
"Utakapomuona mja anapewa ayapendayo katika dunia pamoja na kufanya kwake maovu basi jua hiyo ni istidraaj, kisha akasoma maneno ya Allah : Basi walipoyasahau yale walio kumbushwa tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo furahia yale waliyo pewa tuliwashika kwa ghafla, na mara wakawa wenye kukata tamaa
 
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit. [emoji120][emoji123][emoji109]
Jr[emoji769]
 
Acheni ulevi wa kiimani ingawa sijui wewe ni dini gani. Msitake kufanya imani ziwe complicated hivi. Kitu kilekile kikitokea kwa mtu huyu kinakuwa treated tofauti na kwa mwingine. Sasa utajuaje kama kwa Wachina hii ni adhabu au kufutiwa dhambi.
 
Japokuwa mimi ni mkristo lakini nakubaliana na wewe kwa %1,000,000,000 kwa sababu Kitabu chochote kile kinachozungumzia kuhusu uwepo wa MUNGU kinakuwa na pumzi ya MUNGU,
Na siyo Quran tu hata Biblia zimechomwa sana moto huko China, Wachina ni kizazi cha nyoka kinatakiwa kitoweke kabisa Duniani.
Ni Wachina ndo hulea Madikteta ya Africa kwa manufaa yao, pumbavu sana wachina acha Corona iwamalize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebola mnaadhibiwa kwa kosa la kugoma kuitoa madarakani CCM Shetani kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miye hapo ndo huwa najiuliza kama hii dini yangu pendwa imekwamia wapi??
Muumini wawezaje kuwa na mawazo finyu kihivi?? Yaani, Allah huyu mkali kihivyo, apigaye bila huruma, aangamizaye bila huruma, na hachagui mwema wala mwovu!! Dah!
Sasa, ameamua kusafisha mji mzima kwa hasira ya viongozi walioichoma quran tukufu!! Hicho kitabu ina maana hata ikinyesha mvua hakinyeshewi??
Mbona nikikiangalia hapa ndani kwangu nakiona ka kitabu cha kawaida sana> Nadhani we must respect the book but not so much, Muumba hawezi kuangamiza mji kwa sababu ya kitabu
 
Ninaposo,a UZI wako kuhusu source ya kirusi hiki halafu pia napitia UZI mwingine kama hu Corona Virus was patent in 2007 and then nakumbuka pia wewe mwenye IMANI hi huaga mnawaita USA kama Makafiri na makafiri hao hao ambao kwa kazi hi umeona kama imefanywa na mnyaazimungu, then nachanganyikiwa, kwanini mnyaazimungu amtumie kafiri kufikia lengo lake?
 
Acha ulongo wewe
 


🙄🙄
 
Waislamu acheni kutafuta kiki kwenye Corona, hayo mateso ya waislamu na wakristo huko China hayajaanza leo wala jana, kabla wewe hujazaliwa Biblia na Quran zilikuwa zinachomwa huko China.

Ni kweli Mungu atawaadhibu ila sio leo wala kesho ni mpaka JUDGEMENT DAY, bado wachina wana nafasi ya kutubu pamoja na watenda dhambi wengine wote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…