Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] this is all shiiiiittttttt


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umemalizia vizuri sana. Point ndio hiyo hiyo, it may not be a fact.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa reasoning yako hivi virusi haviwagusi kabisa wachina waislam?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda si mrefu corona inasambaa duniani ikiwemo bongo kutokana na mwingiliano wa watu.. Ikifika hapa sijui utasema pia wacha wabongo wafe ***** zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wametulia balaa,hata kuwasema naona kimya.

Waislam wanona wachina ni ndugu zako kuliko hata sisi wenzao wa kolomije huku
Naimagine walichofanyiwa muslims china wangefanyiwa na nchi nyingne ya ulaya...pasingekalika...

Ila mchina naona mnamuogopa sana muslim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mnafikiri kwa kutumia kichwa kipi ?
 

dah bongo kuna raia wana akili ya ajabu mpaka naona aibu khaaa [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] this is the dumbest reply


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
unaambiwa kila mtu ana akili jf kabla hajatengeneza uzi au kuchangia mada hapo ndio utaona ubongo wa kuku


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanini hilo pigo/adhabu inawapata raia wa kawaida wa China na sio viongozi wakubwa wa Serikali na chama tawala cha kikomunisti walioendesha hiyo dhulma?
Kiongozi kushuhudia raia wako wanakufa kwa maradhi na huna la kuwafanya, kushuhudia khofu kubwa kwa walio hai, raia wa mataifa mengine kujizuia kuingia nchini mwako kwa sababu ya maradhi, kuwekewa ban ya kuingia mataifa mengine kwa sababu ya maradhi, kujizui kula vyakula mnavyopenda, kujizui sherehe , na kufunga miji na huduma, na mengine mengi.... nadhani ni punishment kubwa kwa watawala kuliko kufa.
 
Ni kweli mkuu! Hiyo pia ni adhabu tosha.
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…