Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Wewe ni mganga wa kienyeji mwisho utasema unauza dawa za walioathirika na punyeto..
Mkuu uko sahihi kwa sababu na wewe mwenyewe ni mganga wa kienyeji. Kwa sababu kama umewahi kutumia matunda au majani yoyote kama tiba basi jua na wewe mwenyewe ni mganga wa kienyeji. Hata hivyo mimi siuzi madawa hayo ya kienyeji. Pia mkuu, mwakani nitaandika kitabu kizuri cha Kiswahili na Kiingereza kuhusu masuala haya nadhani kktasaidia wengi na wewe ukiwemo
 
Wewe ni mganga wa kienyeji mwisho utasema unauza dawa za walioathirika na punyeto..
Mkuu kwani kuna ubaya nikifanya hivyo? Hata hivyo mimi sijui madawa ya waganga ya kutibu tatizo hilo ila najua namna ya kutumia akili na will power kuondokana na tatizo hilo
 
Mwamba umejaza hisia kwenye andiko lako hayo yote ulioelezea ni madhara ya punyere ambayo umeyakonekt na picha za ngono ili kuifanya habar iwe ya kusisimua
Kuna watu ni chaputa nguli na hawana access na hizo mambo zenu za porn.hub wala playboy magazine ina maana hao hawahusiki hapa?
Mkuu hakuna hisia hapa. Mkuu nani aliyekuambia manguli hawapati madhara hayo? Mkuu Isaac Newton aliwahi kusema hivi "For every action there's an equal and opposite reaction" na wengine wakaja wakasema hivi" Like causes like effects). Mkuu usidanganywe kama hawapati madhara.
 
Kivipi mkuu? Unakuwa unatamani au namna gani vipi?
Yaani nashindwa kuendelea, napata maumivu makali ya kichwa. Hata nikisema nipige chaputa kwa kutumia video au picha ya ngono, ujue kesho yake nitaamka nimevimba miguu na kutapika kabisa! Lakini nikipiga kwa kuimagine mtu ninaemfahamu au nilievutiwa nae in real life, mambo swaafi kabisa!
 
Back
Top Bottom