mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Ni kweli madam, lakini hata vijana wa kike na hata wanawake watu wazima wameingia katika janga hili.Hilo ni janga la vijana/wanaume wengi na madhara ni makubwa sana
Hili niliwahi shuhudia wanawake wengi wanataka kutumiwa connection fulani.