Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Sio mimi bana 😂Kumbe ndo zako uache Sasa unipigie ukipata ugumu😄
Me siangaliagi hizo mambo, vijana mlivyojaa hivi nianze kujipa tabu mie ya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi bana 😂Kumbe ndo zako uache Sasa unipigie ukipata ugumu😄
Hamna. Mbona mie nimekuwa nikiangalia toka nina miaka 14 na nanyetuka tuu. Na kwa miaka yo hiyo mpaka sasa 42 yrs sijui mlango wa hospital ukoje wala sindano ya doctor inafananaje.Mkuu hakuna cha unafuu. Effects zake ni very detrimental mkuu.
thawa babe LenieShida ipo ndio.
Hizo hatutakiwi kuangalia kabisa, tupige tu show zetu wenyewe tutaenjoy mbona.
Mkuu madhara yake siyo rahisi kuyaona kwa sababu hayaji kama ugonjwa wa malaria, kaswende nk. Madhara yake ni kama nilivyo taja pale juuHamna. Mbona mie nimekuwa nikiangalia toka nina miaka 14 na nanyetuka tuu. Na kwa miaka yo hiyo mpaka sasa 42 yrs sijui mlango wa hospital ukoje wala sindano ya doctor inafananaje.
Ni kweli kabisa aisee, video na picha za ngono ni chanzo kikubwa cha janga hili la mapenzi ya jinsia moja. Binafsi nimewahi shuhudia vijana zaidi ya kumi(10) ambao wapo chini ya miaka 18 wamejibanza mawahi wanaangalia video hizo kwenye simu ya mwenzao.Nimewahi sikia kwamba ukizikomalia hizo "vidio" utaanza kupenda kula "ndogo" af then utaanza kutamani "kuliwa" ndogo pia, naskia pia ndo chanzo vijana wengi kuwa "mapunga".
JF Naombeni clarification juu ya hayo.🙏🙏
NakaziaWacha tuangalie bwana...hayo madhara naona ni madogo ukilinganisha na kuungwa kwenye grid ya taifa au kupata gono.
Hahahaa mkuu yaani uko na 42yrs now na bado unapiga punyeto?Hamna. Mbona mie nimekuwa nikiangalia toka nina miaka 14 na nanyetuka tuu. Na kwa miaka yo hiyo mpaka sasa 42 yrs sijui mlango wa hospital ukoje wala sindano ya doctor inafananaje.
Sina hela ya kumiliki mkeHahahaa mkuu yaani uko na 42yrs now na bado unapiga punyeto?
Hili nalo inapaswa wakaliangalie in ssh voiceSina hela ya kumiliki mke
Kabisa waliangalie maana hali ni mbayaHili nalo inapaswa wakaliangalie in ssh voice
Mkuu haiwezekani kufanya mara moja kwa wiki. Huo ni ulevi mkuu ambao utafanya mara nyingi tu kwa wikiMkuu vp nikipitia walau mara moja kwa wiki kama kiburudisho tu na baada ya kumaliza wala sijichui maana nilishaachaga muda mrefu saaana kupiga nyeto na saivi naangalia Kama navocheki Mpira tu, nayo inamadhara pia?
Kivipi mkuu? Unakuwa unatamani au namna gani vipi?Binafsi, nikianza kutazama tu napatwa na usingizi huku namung'unya ulimi, inabidi tu niache kwa kweli! Nikiona tupu za wazungu ndo napata allergy kabisaa, macho yanawasha! Sijui nimerogwa!
Kuna utofauti mkubwa kati ya punyeto na real sex. Pia nguvu inayotumuka kwenye punyeto ni tofauti na kwenye real sexKwani kujichua na kufanya mapenzi na mwanamke kuna utofauti gani maana matendo yote yanapelekea kutoa mbegu njee naona waandishi wengi wameegea sana kwenye tendo la upigaji punyeto
Wenye ujuzi zaidi wanaeleweshe kama nipo wrong