Gelion Kayombo
Senior Member
- Feb 17, 2018
- 149
- 199
- Thread starter
- #141
Mkuu, hili limekuwa tatizo kubwa sana ndiyo maana hata serikali imeliona.NA HILI LA KUJICHUA MKALITIZAME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hili limekuwa tatizo kubwa sana ndiyo maana hata serikali imeliona.NA HILI LA KUJICHUA MKALITIZAME
Faida yake ni ipi?Mkuu faida ipo ya kuangalia hizo video. Faida iliyopo ni ya muda mfupi lakini kwa malengo ya muda mrefu kuna hasara kubwa. Ni sawa na mtu anayetumia energy drinks, au viagra. Anapata faida kwa muda mfupi ila madhara ni makubwa sana kwa muda mrefu ujao.
Faida yake ndiyo hiyo furaha ya muda mfupi anayopata mtu.Faida yake ni ipi?
Hapo umemnukuu nani mkuu?NA HILI LA KUJICHUA MKALITIZAME
Je wewe umewahi walau hata maramoja kujichua?Faida yake ndiyo hiyo furaha ya muda mfupi anayopata mtu.
Ndiyo mkuuMimi ninachojua kuangalia ni dhambi na husababisha mtu kujichua ambayo pia ni dhambi. Kiujumla ni dhambi tu
Hizi nyingine ni hadithi tu
Mkuu, hili limekuwa tatizo kubwa sana ndiyo maana hata serikali imeliona.
Mama alisema kutwa vijana kweny mchuzi wa pweza na vumbi la congo nadhan umenielewaHapo umemnukuu nani mkuu?
Sasa aliyepewa kazi ya kuliangalia ni nani? Atatumia mbinu gani?Mama alisema kutwa vijana kweny mchuzi wa pweza na vumbi la congo nadhan umenielewa
Niliwahi ndiyo.Je wewe umewahi walau hata maramoja kujichua?
Je ulipiga kwa muda gani na uliathirika kwa kiasi gani? Na uliwezaje kuacha?Niliwahi ndiyo.
😅😅Ndipo apo wizara yenye dhamana iko kimya na kimsingi tu madhara yake ni makubwaSasa aliyepewa kazi ya kuliangalia ni nani? Atatumia mbinu gani?
Na bado unaendelea?Niliwahi ndiyo.
Mkuu madhara yalikuja kama niliyo ainisha hapo juu, kuacha niliweza kwa sababu inahitaji maamuzi na nidhamu. Mtu anaweza kuacha vizuri tu kama atapewa mwongozo.Je ulipiga kwa muda gani na uliathirika kwa kiasi gani? Na uliwezaje kuacha?
Isaidie jamii
Yanaendelea madhara kwangu au?Na bado yanaendelea?
Yah ama ukiacha mfumo unarudi kama Kawaida bila madhara?Yanaendelea madhara kwangu au?
Hili bandiko lako limenihamasisha...ngoja nianze leoMkuu umewahi kuangalia au bado una angalia video hizo? Naomba nijibu ili nikuulize swali jingine
Madhara yanategemea na muda, na vitu unavyofanya kurudisha mwili kwenye hali ya kawaida. Ila inahitaji nidhamu ya hali ya juu kwa mtu kuweza kukaa kwenye mfumo wa mwanzo na kuacha hiyo tabia.Yah ama ukiacha mfumo unarudi kama Kawaida bila madhara?