Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Sababu za kuacha kutazama video za utupu

huna facts mzee, unaruka ruka, mara huku mara kule
maswali juu hapo umeshindwa jibu
Mkuu unajua kuwa tayari umeshapata madhara? Kama unafanya kila siku kama ulivyo andika hapo juu, tayari wewe ni muathirika
 
hujajibu, umejikanyaga na kurukaruka,
Mkuu, inawezekana bado hujaanza kukutana na madhara niliyotaja hapo juu, ila tambua kuwa wewe tayari ni mlevi wa hiyo kitu. Mpaka sasa wewe huna tofauti kwa ulevi na mvuta sigara au mlevi wa pombe
 
kama yapi ?
"Naji'chua' kwa siku mara 5, asubuhi-viwili, mchana, jioni na usiku kabla kulala" Haya ndiyo madhara yake umeyataja. Umeshakuwa addicted. Na kuwa addicted ni hatua ya awali, bado hatua inayofuata ya kuanza kuleta madhara mengine
 
Ila mleta mada sijaona uliposema kama wewe umewahi kuangalia ukaamua kuacha au hujawahi kuangalia kabisa
Je uliangaliatu bila kujichua au ulijichua?
Nakama uliwahi kuangalia uliathirika kiasi gani na ndani ya muda gani?
Hivi katika hali ya kawaida hakuna hata faida moja ya kujichua?
Mbona hujazungumzia wanaojichua bila kuangalia hizo video?

Jaribu kuwa shuhuda wa mada yako hii tata
 
Mkuu faida ipo ya kuangalia hizo video. Faida iliyopo ni ya muda mfupi lakini kwa malengo ya muda mrefu kuna hasara kubwa. Ni sawa na mtu anayetumia energy drinks, au viagra. Anapata faida kwa muda mfupi ila madhara ni makubwa sana kwa muda mrefu ujao.
 
Back
Top Bottom