Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Sababu za kuacha kutazama video za utupu

hizo video zimeleta vijana wakulelewa na mamishangazi

yaani hawataki kufanya kazi ngumungumu wapate pesa, wanakula chips PODA haikosamo kha😂
 
hizo video zimeleta vijana wakulelewa na mamishangazi

yaani hawataki kufanya kazi ngumungumu wapate pesa, wanakula chips PODA haikosamo kha[emoji23]
Kabisa yaani. Na wengi wanajifunza mambo ya hovyo kupitia kwenye hizo video za utupu
 
Kuna ex wng mmoja ameshakua addicted na izo video mpk namuonea huruma
 
hayo yote uliyoyabold hayana ukweli,kama ni ndio thibitisha
 
nilishaangalia sana ,sasahivi siangalii maana sina muda muda wa ujinga ujinga ila hakuna lolote katika hayo uliyoandika
Sawa. Ila kuna wenzako wengi wanakubaliana na haya niliyoandika hapa. Na kuna watu wengi wamo humu wanajua madhara ya porn.
 
Kwa hiyo nikifanya sex sio dhambi na moto hautanipata
Kuna utofauti kati ya kufanya sex na kuangalia wenzako wakifanya sex. Really sex na pornography is quite different. Really sex has its characteristics and pornography has its own characteristics.
 
Sawa. Ila kuna wenzako wengi wanakubaliana na haya niliyoandika hapa. Na kuna watu wengi wamo humu wanajua madhara ya porn.
hata bia kuna watu inawaletea madhara, wengine wanakunywa wanaenjoy na hakuna lolote,so ukileta uzi wa madhara ya bia utakua uzi wa kitopolo.kila kitu kikizidi kina madhara hata maji ya kunywa
 
Back
Top Bottom