Sababu za kuacha kutazama video za utupu

Hizi ulizoandika ni takataka [emoji116]
Kuangalia picha za utupu hupelekea akili ya mtu kukosa makali(sharpness) na nguvu

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nguvu za mwili

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa hali ya kujiamini

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nidhamu binafsi

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukwepwa na watu wa jinsia tofauti

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na msongo wa mawazo

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na afya dhaifu
 
hata bia kuna watu inawaletea madhara, wengine wanakunywa wanaenjoy na hakuna lolote,so ukileta uzi wa madhara ya bia utakua uzi wa kitopolo.kila kitu kikizidi kina madhara hata maji ya kunywa
Sawa. Leo hii nimeleta uzi unaohusu pornography. Hata hivyo mkuu ulevi wa porn na ulevi wa bia ni tofauti sana. Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi Kuangalia porn?
 
Hizi ulizoandika ni takataka [emoji116]
Kuangalia picha za utupu hupelekea akili ya mtu kukosa makali(sharpness) na nguvu

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nguvu za mwili

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa hali ya kujiamini

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nidhamu binafsi

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukwepwa na watu wa jinsia tofauti

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na msongo wa mawazo

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na afya dhaifu
Mkuu umesoma mpaka mwisho?
 
Hizi ulizoandika ni takataka
emoji116.png

Kuangalia picha za utupu hupelekea akili ya mtu kukosa makali(sharpness) na nguvu

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nguvu za mwili

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa hali ya kujiamini

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukosa nidhamu binafsi

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kukwepwa na watu wa jinsia tofauti

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na msongo wa mawazo

Kuangalia picha za utupu hupelekea mtu kuwa na afya dhaifu
Pia mkuu u
As you said its better to having sexual intercourse rather than looking porno videos

You are totally wrong, remember commandment number 6
I am talking beyond sin. What I am talking here is which is better between one having sex and watching others having sex. Which is better?
 
nimeamini ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi umeandika chapisho refuuu alaf hamna kitu
 
Both,
But watching you may escape lots of things:,
No diseases found by watching
No fightings
No wastage of capital
Earlier satisfaction
 
Ha ha ha, you are out of my point. I should have listed those effects above there on my thread. So you are watching porn as a way to avoid those effects you have mentioned here?
 
nimeamini ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi umeandika chapisho refuuu alaf hamna kitu
Mkuu point yako ni ipi hapa? Unatetea kuangalia porn na kwamba haina madhara au upo nami kuzuia watu wasiangalie porn ili wawe na afya njema ya akili, mwili na kiroho?
 
Back
Top Bottom