Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

Jiwe alipora kweli
 
Miso misondo umepigaje hapo?
 
Ujasiri wa magufuli, umefanya nchi kuwa na shirika lake la ndege na ambapo ilikuwa ni aibu kwa nchi kukosa hata ndege walau moja, kumbuka, na hizi hazikuwa kwenye urani yenu ccm, search michango ya Heche akiilaumu nchi kukosa hata ndege moja tu
Hakuna national airlines zinazopata faida kwa Africa labda Ethiopian Airlines pekee. Hawa KQ na SAA wamekuwa wakiripoti hasara for the last 3 years.

Kutegemea kuwa utapata mapato kutoka ATCL ambayo utayaelekeza kwenye ujenzi wa shule na mabarabara sahau kabisa.

Ni sekta binafsi tu ndiyo zinafanikiwa kufanya biashara ya ndege au sekta mchanganyiko wa Serikali kidogo na Binafsi sehemu kubwa.

Angekuwapo Fast Jet hapa ujue ATCL atakufa. Inefficiency yote ya ATCL imekuwa pinned kwenye bei ya tiketi.

ATCL kwa mfano wapunguze 10% ya bei yao, hawawezi kujiendesha.

Mwaka 2014 Dar - Mwanza- Dar return ticket ilikuwa Tsh 180,000 kwa FastJet.

Lakini leo same route ni Tsh 600,000. Hizo delays, inefficiencies, embezzlement, Government bureaucracies zote ndizo zina sababisha bei ifike hapo
 
📌📌📌📌🔨

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=IpGfK1x1uo5DhV6PBFdJPA&s=19
 
Mkuu, kwanza heko kwako kwa kujilita katika kujenga hoja bila kusema matusi, maana huwa nikiona jina lako tu kwenye uzi wowote unaohusu hasa Magifuli, kama sio kumtukana mwenye uzi, basi utatukana marehemu 😂

Kwenye hili umenipa moyo, nakuunga mkono kwa uyasemayo

Ukiondoa hizo hasara na changamoto za uendeshaji kwa shirika hili, mimi nilibainisha tu kile yeye kafanya
 
Inategemea hoja inavyokuja. Mkimsifia uwongo lazima nirukie
 
Hiyo avatar yako inanikumbusha askari aliyepora simu za wafungwa Butimba.
Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana

Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magereza
 
Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magereza
Kumbe ulikuwepo! 😆😆

Nimefahamu kwanini umeendelea kuwa na chuki na Magu. Kwa upande mwingine, nilimpenda yule kamanda alivyoongea kwa kujiamini despite Magufuli's bullying.
 
Mtu kama kinana ni wa kuhurumiwa kwa kweli ..kama sio jpm kuanzisha mradi wa bwa la nyerere wwngekuwa na njia gani ya kuondoa upungufu wa umeme
 
Kama huwezi kukitaja hapa jamii forum ww ni mhuni tu kama wauni wengine
 
ww ni mweupe mno mpige spanna babu yako hajakuandaa kuwa Rais hata wa soka

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajulikana ni zuzu,na jamii inajua kuwa hujapona bado,hivyo ni upumbavu kuhangaika na wewe.
 
Unaweza kutoa mfano wa wizi hata mmoja kipindi cha awamu ya tano?
 
Tusidanganye ccm wote ni wezi hakuna cha nani wala nani labda useme tu wewe ulimpenda fulani kwa sababu ya maslahi yako binafsi basi.
 
Mtu kama kinana ni wa kuhurumiwa kwa kweli ..kama sio jpm kuanzisha mradi wa bwa la nyerere wwngekuwa na njia gani ya kuondoa upungufu wa umeme
Kwani zile Megawatts 900 za Kinyerezi 1-3 zina zinatoka kwenye Bwawa?

Kama Bwawa lisinejengwa tungejenga vinu kwa kuchakata umeme kwa kutumia gesi hapo Kinyerezi 4 & 5
 
kama lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…