Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja

Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana?

Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia?

Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu,

Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za kwamba, bandari zetu hatuwezi kuziendesha kwa sababu serikali imeshindwa kuzuia wezi pale bandarini, mapato yanapotea sana na ndiyo sababu ya kupewa mwekezaji! Sababu hii iwapo ndiyo iliyopelekea kubinafisishwa bandari zetu, basi, hii ndiyo inayoniaminisha kwamba, Mapato yetu yangelikuwa juuu sana ukilinganisha na hiki wanachojitapa Viongozi wa CCM

Kwa sababu hiyo hiyo moja tu, inatosha kabisa kutuaminisha kwamba, mapato yetu iwapo yangelisimamiwa kimagufuli, tusingelikuwa na mapato hayo tu wayasemao viongozi hawa wazembe

Ukiondoa la Bandari, Serikali inasimamia mambo mangapi ambayo nako kunaupigaji mwingi?

Mambo ya upigaji, ndiyo hayo Magufuli alikuwa akilala nao mbele wezi hao na ambao sasa wanatetewa na CCM

Kumzungumzia Magufuli eti alikuwa ni mporaji wa kodi, ni kufabaisha udhaifu uliopo sasa

Ripoti za CAG hazishughurikiwi, uzembe na wizi ndio umetamalaki

Utamwambia nini mtanzania mwenye akili timamu kumhusu JPM?

Tokea JPM ameondoka, ni kipi kikubwa sana kilichofanyika na ama kinachofanyika ambacho Watanzania wanaona ni juhudi binafsi na ama ujasiri wa kipekee kutoka kwa awamu hii?

Je, ni bandari na DPW? Je, ni wamaasai na Ngorongoro? Au jambo lenye ukakasi kuhusu Bima za Afya

Ni nini hasa zaidi tu ya kushukuru ujasiri wa alioufanya hayati Magufuli kuanzisha miradi mkibwa na yenye kuleta heshima katika nchi yetu?

JPM hakupora mtu yeyoyote zaidi ya kuwanyang'anya mafisadi pesa wizi!

Hata hivyo tunayonafasi bado ya kufanya makubwa zaidi na tukajivunia nayo, shida ni kwamba, hatuwezi kufikia matarajio hayo kwa sababu hata waliowekwa kwenye kusimamia masilahi ya nchi, wengi wao hawana uthubutu wa kukemea mafisadi kwa sababu hata wao ni mafisadi
Jiwe alipora kweli
 
Mkuu relax, katika historia ya Tanzania nani hakufanyia kazi ya CAG kabisaa ni Magufuli!

Katika historia ya Tanzania ni kipindi gani upotevu wa hela ndefu kufikia trillioni 1.2 kwa mwaka mmoja ni kipindi cha Magufuli!

Katika historia ya Tanzania ni wakati gani CAG alifukuzwa kazini kwa kuhoji opotevu wa hela ni kipindi cha Magufuli!

Katika historia ya Tanzania ni wakati gani deni la taifa liliongezeka zaidi mara mbili ndani ya miaka 5 tu ni kipindi cha Magufuli!

Kwa hayo machache, huoni kwamba mzee Kinana anatumia busara kusema uhalisia ulivyo kuwa kipindi cha Magufuli???

Kama unahisi wanamtukana Magufuli, wewe msifie, hujakatazwa wala kuzuiwa!
Miso misondo umepigaje hapo?
 
Ujasiri wa magufuli, umefanya nchi kuwa na shirika lake la ndege na ambapo ilikuwa ni aibu kwa nchi kukosa hata ndege walau moja, kumbuka, na hizi hazikuwa kwenye urani yenu ccm, search michango ya Heche akiilaumu nchi kukosa hata ndege moja tu
Hakuna national airlines zinazopata faida kwa Africa labda Ethiopian Airlines pekee. Hawa KQ na SAA wamekuwa wakiripoti hasara for the last 3 years.

Kutegemea kuwa utapata mapato kutoka ATCL ambayo utayaelekeza kwenye ujenzi wa shule na mabarabara sahau kabisa.

Ni sekta binafsi tu ndiyo zinafanikiwa kufanya biashara ya ndege au sekta mchanganyiko wa Serikali kidogo na Binafsi sehemu kubwa.

Angekuwapo Fast Jet hapa ujue ATCL atakufa. Inefficiency yote ya ATCL imekuwa pinned kwenye bei ya tiketi.

ATCL kwa mfano wapunguze 10% ya bei yao, hawawezi kujiendesha.

Mwaka 2014 Dar - Mwanza- Dar return ticket ilikuwa Tsh 180,000 kwa FastJet.

Lakini leo same route ni Tsh 600,000. Hizo delays, inefficiencies, embezzlement, Government bureaucracies zote ndizo zina sababisha bei ifike hapo
 
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja

Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana?

Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia?

Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu,

Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za kwamba, bandari zetu hatuwezi kuziendesha kwa sababu serikali imeshindwa kuzuia wezi pale bandarini, mapato yanapotea sana na ndiyo sababu ya kupewa mwekezaji! Sababu hii iwapo ndiyo iliyopelekea kubinafisishwa bandari zetu, basi, hii ndiyo inayoniaminisha kwamba, Mapato yetu yangelikuwa juuu sana ukilinganisha na hiki wanachojitapa Viongozi wa CCM

Kwa sababu hiyo hiyo moja tu, inatosha kabisa kutuaminisha kwamba, mapato yetu iwapo yangelisimamiwa kimagufuli, tusingelikuwa na mapato hayo tu wayasemao viongozi hawa wazembe

Ukiondoa la Bandari, Serikali inasimamia mambo mangapi ambayo nako kunaupigaji mwingi?

Mambo ya upigaji, ndiyo hayo Magufuli alikuwa akilala nao mbele wezi hao na ambao sasa wanatetewa na CCM

Kumzungumzia Magufuli eti alikuwa ni mporaji wa kodi, ni kufabaisha udhaifu uliopo sasa

Ripoti za CAG hazishughurikiwi, uzembe na wizi ndio umetamalaki

Utamwambia nini mtanzania mwenye akili timamu kumhusu JPM?

Tokea JPM ameondoka, ni kipi kikubwa sana kilichofanyika na ama kinachofanyika ambacho Watanzania wanaona ni juhudi binafsi na ama ujasiri wa kipekee kutoka kwa awamu hii?

Je, ni bandari na DPW? Je, ni wamaasai na Ngorongoro? Au jambo lenye ukakasi kuhusu Bima za Afya

Ni nini hasa zaidi tu ya kushukuru ujasiri wa alioufanya hayati Magufuli kuanzisha miradi mkibwa na yenye kuleta heshima katika nchi yetu?

JPM hakupora mtu yeyoyote zaidi ya kuwanyang'anya mafisadi pesa wizi!

Hata hivyo tunayonafasi bado ya kufanya makubwa zaidi na tukajivunia nayo, shida ni kwamba, hatuwezi kufikia matarajio hayo kwa sababu hata waliowekwa kwenye kusimamia masilahi ya nchi, wengi wao hawana uthubutu wa kukemea mafisadi kwa sababu hata wao ni mafisadi
📌📌📌📌🔨

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=IpGfK1x1uo5DhV6PBFdJPA&s=19
 
Hakuna national airlines zinazopata faida kwa Africa labda Ethiopian Airlines pekee. Hawa KQ na SAA wamekuwa wakiripoti hasara for the last 3 years.

Kutegemea kuwa utapata mapato kutoka ATCL ambayo utayaelekeza kwenye ujenzi wa shule na mabarabara sahau kabisa.

Ni sekta binafsi tu ndiyo zinafanikiwa kufanya biashara ya ndege au sekta mchanganyiko wa Serikali kidogo na Binafsi sehemu kubwa.

Angekuwapo Fast Jet hapa ujue ATCL atakufa. Inefficiency yote ya ATCL imekuwa pinned kwenye bei ya tiketi.

ATCL kwa mfano wapunguze 10% ya bei yao, hawawezi kujiendesha.

Mwaka 2014 Dar - Mwanza- Dar return ticket ilikuwa Tsh 180,000 kwa FastJet.

Lakini leo same route ni Tsh 600,000. Hizo delays, inefficiencies, embezzlement, Government bureaucracies zote ndizo zina sababisha bei ifike hapo
Mkuu, kwanza heko kwako kwa kujilita katika kujenga hoja bila kusema matusi, maana huwa nikiona jina lako tu kwenye uzi wowote unaohusu hasa Magifuli, kama sio kumtukana mwenye uzi, basi utatukana marehemu 😂

Kwenye hili umenipa moyo, nakuunga mkono kwa uyasemayo

Ukiondoa hizo hasara na changamoto za uendeshaji kwa shirika hili, mimi nilibainisha tu kile yeye kafanya
 
Inategemea hoja inavyokuja. Mkimsifia uwongo lazima nirukie
 
Hiyo avatar yako inanikumbusha askari aliyepora simu za wafungwa Butimba.
Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana

Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magereza
 
Kumbe ulikuwepo! 😆😆

Nimefahamu kwanini umeendelea kuwa na chuki na Magu. Kwa upande mwingine, nilimpenda yule kamanda alivyoongea kwa kujiamini despite Magufuli's bullying.
 
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja

Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana?

Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia?

Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu,

Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za kwamba, bandari zetu hatuwezi kuziendesha kwa sababu serikali imeshindwa kuzuia wezi pale bandarini, mapato yanapotea sana na ndiyo sababu ya kupewa mwekezaji! Sababu hii iwapo ndiyo iliyopelekea kubinafisishwa bandari zetu, basi, hii ndiyo inayoniaminisha kwamba, Mapato yetu yangelikuwa juuu sana ukilinganisha na hiki wanachojitapa Viongozi wa CCM

Kwa sababu hiyo hiyo moja tu, inatosha kabisa kutuaminisha kwamba, mapato yetu iwapo yangelisimamiwa kimagufuli, tusingelikuwa na mapato hayo tu wayasemao viongozi hawa wazembe

Ukiondoa la Bandari, Serikali inasimamia mambo mangapi ambayo nako kunaupigaji mwingi?

Mambo ya upigaji, ndiyo hayo Magufuli alikuwa akilala nao mbele wezi hao na ambao sasa wanatetewa na CCM

Kumzungumzia Magufuli eti alikuwa ni mporaji wa kodi, ni kufabaisha udhaifu uliopo sasa

Ripoti za CAG hazishughurikiwi, uzembe na wizi ndio umetamalaki

Utamwambia nini mtanzania mwenye akili timamu kumhusu JPM?

Tokea JPM ameondoka, ni kipi kikubwa sana kilichofanyika na ama kinachofanyika ambacho Watanzania wanaona ni juhudi binafsi na ama ujasiri wa kipekee kutoka kwa awamu hii?

Je, ni bandari na DPW? Je, ni wamaasai na Ngorongoro? Au jambo lenye ukakasi kuhusu Bima za Afya

Ni nini hasa zaidi tu ya kushukuru ujasiri wa alioufanya hayati Magufuli kuanzisha miradi mkibwa na yenye kuleta heshima katika nchi yetu?

JPM hakupora mtu yeyoyote zaidi ya kuwanyang'anya mafisadi pesa wizi!

Hata hivyo tunayonafasi bado ya kufanya makubwa zaidi na tukajivunia nayo, shida ni kwamba, hatuwezi kufikia matarajio hayo kwa sababu hata waliowekwa kwenye kusimamia masilahi ya nchi, wengi wao hawana uthubutu wa kukemea mafisadi kwa sababu hata wao ni mafisadi
Mtu kama kinana ni wa kuhurumiwa kwa kweli ..kama sio jpm kuanzisha mradi wa bwa la nyerere wwngekuwa na njia gani ya kuondoa upungufu wa umeme
 
Huyu Magufuli kuna vitu amefanya mwaka 2016-20 lakini madhara yake tutayaona hata baada ya 2035 Mungu akitupa uzima.

Naogopa Rais atakayekuwapo 2035 atalaumiwa kwa PERFORMANCE wakati ni uozo uliosababishwa na Mwendazake.

Hatumpumzishi huyu, spanna mpaka ahera.
Kama huwezi kukitaja hapa jamii forum ww ni mhuni tu kama wauni wengine
 
Huyu Magufuli kuna vitu amefanya mwaka 2016-20 lakini madhara yake tutayaona hata baada ya 2035 Mungu akitupa uzima.

Naogopa Rais atakayekuwapo 2035 atalaumiwa kwa PERFORMANCE wakati ni uozo uliosababishwa na Mwendazake.

Hatumpumzishi huyu, spanna mpaka ahera.
ww ni mweupe mno mpige spanna babu yako hajakuandaa kuwa Rais hata wa soka

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Magufuli kuna vitu amefanya mwaka 2016-20 lakini madhara yake tutayaona hata baada ya 2035 Mungu akitupa uzima.

Naogopa Rais atakayekuwapo 2035 atalaumiwa kwa PERFORMANCE wakati ni uozo uliosababishwa na Mwendazake.

Hatumpumzishi huyu, spanna mpaka ahera.
Wewe unajulikana ni zuzu,na jamii inajua kuwa hujapona bado,hivyo ni upumbavu kuhangaika na wewe.
 
Ufisadi haujawahi kuisha wala kupungua ndani ya serikali ya CCM. Kinachobadilika ni makundi yanayonufaika na style ya upigaji. Wenyewe wanapashana “kutesa kwa zamu” na “kuimba kupokezana”.

Awamu za 2,3 na 4 ufisadi ulikuwa kwa janja ya kucheza na sera, sheria na mikataba. Walikuwa na “haya” kidogo. Media zilikuwa na upenyo wa kuchunguza na kuvujisha japo kwa tabu.

Awamu ya 5 ilikuwa ya kibabe na kijasiri hasa. Zilikuwa zinachotwa mubashara bila visingizio huku CAG akipigwa pini kali, bunge lililong’olewa meno na media zikivishwa barakoa ya chuma. Na haikupita muda hata magwiji (masterminds) wa ufisadi wa awamu ya 4 wakiongozwa RA wakapokelewa Ikulu kwa bashasha zote!

Awamu ya 6 ni mchanganyiko maalum wa awamu zote kutokana na uzoefu na ujasiri uliopatikana.
Unaweza kutoa mfano wa wizi hata mmoja kipindi cha awamu ya tano?
 
Tusidanganye ccm wote ni wezi hakuna cha nani wala nani labda useme tu wewe ulimpenda fulani kwa sababu ya maslahi yako binafsi basi.
 
Mtu kama kinana ni wa kuhurumiwa kwa kweli ..kama sio jpm kuanzisha mradi wa bwa la nyerere wwngekuwa na njia gani ya kuondoa upungufu wa umeme
Kwani zile Megawatts 900 za Kinyerezi 1-3 zina zinatoka kwenye Bwawa?

Kama Bwawa lisinejengwa tungejenga vinu kwa kuchakata umeme kwa kutumia gesi hapo Kinyerezi 4 & 5
 
Huyu Magufuli kuna vitu amefanya mwaka 2016-20 lakini madhara yake tutayaona hata baada ya 2035 Mungu akitupa uzima.

Naogopa Rais atakayekuwapo 2035 atalaumiwa kwa PERFORMANCE wakati ni uozo uliosababishwa na Mwendazake.

Hatumpumzishi huyu, spanna mpaka ahera.
kama lipi?
 
Back
Top Bottom