Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Bro tena Vinchii umekula bangi leo?πŸ™†πŸΌβ€β™€οΈπŸ™†πŸΌβ€β™€οΈ
Ni mwanaume huyo..
Previous alikua ana id inaitwa Padri mcharo nyingine Chief Engineer.
 
Eti alikua ananisagia meno hatari.Hivi kuna watu hununa kisa kupata likes..? It's Awkward
Mimi sijawahi mkosea huyu jamaa
 
Amen mkuu
 
Bahati mbaya sana sifa zote ulizozi taja watu wa aina hii hawana. Kwanza hakupi muda kumaliza unacho ongea atakukatiza akurekebishe kwanza.
 
Bahati mbaya sana sifa zote ulizozi taja watu wa aina hii hawana. Kwanza hakupi muda kumaliza unacho ongea atakukatiza akurekebishe kwanza.
Na kuna wale ambao wanajua vitu lakini akijua mtu wake si mjuzi kama yeye huwa na busara kwenye kueleza

Wapo wengine ambao hawa ndio tunaowaongelea kila kitu anajua yeye na hataki kurekebishwa wala kukosolewa,Kundi hili halifai katika afya ya mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Haya sapiosexual.
 
Point Mkuu
Na kweli kujua mengi sio tatizo
Tatizo ni namna gani unawasilisha ujuaji wako.,

Na kama kweli unajua sana basi unapaswa kujua ni vyema kuwa humble hata kama unajua mengi,.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…