Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Namaanisha kwamba ilibidi nifanye reference google, ili kuona kama 26 anafaa kuitwa kid or not.

Ungenijulisha mapema nisingehangaika kufanya hivyo.
Hahaha yeah inajulikana kid yuko kuanzia 17 kushuka chini, ila kuanzia 18 na kuendelea huyo ni matured kabisa.

Ila nashangaa kwa JF ni tofauti
 
Hahaha yeah inajulikana kid yuko kuanzia 17 kushuka chini, ila kuanzia 18 na kuendelea huyo ni matured kabisa.

Ila nashangaa kwa JF ni tofauti

JF siyo tofauti, ni same same pia.

Sema kuna maneno tunayatumia bila kuhakiki maana halisi ya hayo maneno, ndo tunajikuta tunakosea.
 
uzi tayari.
 
Samahani....anajua vitu kuanzia 94 kuja huku au hata hawa akina mzee mwinamila na mzee nyunyusa anawajua. Anamjua Ramadhani Lenny Abega anamjua Ahmed Amasha je anamjua Nico Zengekala vipi anajua kisa cha kufa kwa Robert Auko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kumbe, napenda sana wanaume wenye akili, nilidhani kwa vile mimi bwege nazi hivyo nataka kucompensate ujinga wangu kumbe ni hali inatambulika kisayansi kabisa loh
 
Kweli wanaume mtachomwa na moto wa petrol , juzi tu mlisema mnataka wanawake kwenye matako makubwa.

Mkalala usingizi kuamka mkasema wanawake kwenye matako makubwa hawana akili, wana probability kubwa ya kuzaa watoto vilaza.
Leo wanawake wanasheria wajuaji sana hawafai kwa kuoa.

Rafiki yangu alinambia ukifika wakati wa kuoa ni lazima ataoa mwanasheria, akikosekana atalazimika kula doctor.

Nikamuuliza sababu akajibu hawa ndo wanawake wenye akili ambao wana uwezo mkubwa wa Ku argue. Anasema anataka akiongea kitu sometimes apate challenge.

Wewe umepata mwanamke kichwa unafanya kazi unamkataa

Wewe ni nani kumkataa mdada wa hivyo😂😂😂
 
Ungeongeza maarifa kupitia yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…