Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Demu anazingua bangi. Ujuaji wake sio kwangu Tu hadi Kwa watu Baki.

She is a kind of a woman ambae mtaenda Kwa mganga, mganga atawaambia leteni kuku jike mweusi na kabla mganga hajaendelea kuzungumza she will jump into his mouth and ask " Huyo kuku mweusi jike awe ameshataga au hata ambae hajawahi kutaga?"
Mganga akisema nendeni mkavunje nazi njia panda she would ask him tukavunje njia panda jike au njia panda dume?

Muulize Mshanajr what will a witchdoctor do to a customer who is acting much know
Hahahahahaha et uyo kuku jike keshataga au .. Curiosity


Kwan ukiachilia mbali huo ujuaji, Papuchi hakupi? Anakudharau yaan sio Mwema???.
 
Kwingine Yuko poa tatizo much know
Hahahaha poa Mkuu, umemwacha bila kumwambia ? Au ulishamwambia lkn wapi.

Hapo kama yuko vzuri kuna mambo mawili tu

Either yeye abadilike kukufaa....au wewe ubadilike kumfaa (ili uendane na uongeaji wake).
 
Maajabu hayataisha duniani 😄 😄 😄 yani hili nalo linakuumiza , hapo umempunguzia mzigo dada wa watu mapema acha akapate much know mwenzake wawe na mazungumzo yanayofanana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Aisee
 
Write your reply...DAAH kuwa na demu ""Nerds"" ni burudani sana kuna mazungumzo yetu tunaelewana wenyewe kwa wenyewe
 
Nope that is not sexy to me.Huyo demu anatakiwa kuwa na MTU kama Pascal Mayalla au Kiranga a.k.a Nyani Ngabu ndio at least wanaweza kuendana.

Akikutana na Kilazaa kama GENTAMYCINE there will be no hope for the future.

Demu yupo very smart na anajua vitu vingi hatari. Kama ni member WA Jf basi ye FaizaFoxy
[emoji28][emoji28][emoji28] kwahiyo unataka kusema eti Mama yetu maharufu humu
Bi mkubwa FaizaFoxy alitakiwa awe wa ubani wa mzee baba Kiranga au mtu mzima Pascal Mayalla
Nanukuu tu , Nisichukuliwe hatua[emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] kwahiyo unataka kusema eti Mama yetu maharufu humu
Bi mkubwa FaizaFoxy alitakiwa awe wa ubani wa mzee baba Kiranga au mtu mzima Pascal Mayalla
Nanukuu tu , Nisichukuliwe hatua[emoji28][emoji28]
When did u know that lions are only active in the night? My girl knew this since the days of Pontius of Pilates
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.


Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.


Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.


Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.


Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

When did u know that lions are nuctornal? She knew it since the days of Pontius of Pilates.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very narrow mkuu kumpata wa hivyo , tena Kwa mwanamke ndo taabu kabisa wachache Sana , mwanamke wa hivyo anaamin anachokijua yeye wewe hukijui , utajikuta unakula lecture kila sku
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hapo utaafundishwa jinsi ya kuoga hata jinsi ya kufua nguo ya ndani
 
Kweli wanaume mtachomwa na moto wa petrol , juzi tu mlisema mnataka wanawake kwenye matako makubwa.

Mkalala usingizi kuamka mkasema wanawake kwenye matako makubwa hawana akili, wana probability kubwa ya kuzaa watoto vilaza.
Leo wanawake wanasheria wajuaji sana hawafai kwa kuoa.

Rafiki yangu alinambia ukifika wakati wa kuoa ni lazima ataoa mwanasheria, akikosekana atalazimika kula doctor.

Nikamuuliza sababu akajibu hawa ndo wanawake wenye akili ambao wana uwezo mkubwa wa Ku argue. Anasema anataka akiongea kitu sometimes apate challenge.

Wewe umepata mwanamke kichwa unafanya kazi unamkataa

Wewe ni nani kumkataa mdada wa hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Africa ni wanaume wachache sana wanaotaka wanawake wa hivyo, wengi wao hawataki wanawake wawape challenge maana hiyo kwao wanaitafsiri as kupandwa kichwani hivyo wengi wao wanataka wale wanawake ambao kila kitu ni "ndiyo mume wangu".
 
Back
Top Bottom