Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Mkuu usipate shida, tafuta form four failure muweke ndani
Huyo atakuona wewe ndio mjuvi wa kila kitu na utasujudiwa sana
 
Mkuu usipate shida, tafuta form four failure muweke ndani
Huyo atakuona wewe ndio mjuvi wa kila kitu na utasujudiwa sana
Kujua vitu sio tatizo tatizo NI kuwa muchknow. U muchknow unaweza kusababisha familia nzima kuchukua Kwa sababu ya mjinga mmoja
 
Write your reply...Write your reply...umekaa zako unawaza kwa sauti mbona test zangu za kuweka freezing tube kwenye karakana (lab) yangu ya cryogenic iwe stable kwa matumizi zimegonga mwamba na ukicheki umeme uliseti fresh Mara paap baby YUPO kwenye kochi anakuskia


unaskia "kwani baby ulicheki magnetic core reactors halafu vile viwaya viwili green na red huo sometimes vinaachia kutokana na msukumo kama ziko sawa je uliziweka kwenye conditions nzuri vipi steam zipo kwenye jotoridi linalotakiwa ili ziisaidia ku operate halafu baby uwe unajifunza kutokana na makosa au ujinga wako mtaalamu gani SASA wa masuala ya engineering cryogenics kama hivo vitu vdogo vinskusumbua

hata mtaalamu mmoja wa filosofia alisema hivyo jifunze kutokana na makosa yako hapo muuhuni Upo tu unamtizama usoni akiongea unaishia kusemema kudadekii
 
Mwenzio anataka mbulula

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi hii juzi imenikuta naifanay kumuhack binti kwa kutumia whatsap web dk 5 nyingi aka logout hata sikuona nilichotaka nifukunyue huko..hahha wadada sikuhizi ni wadadisi sana wa vijimambo
 
Kuna mtu alisema kamwe hawezi oa nurse wala police na hataki mfupi, nikasema kila raheri sasa mkewe ni nurse na ni mfupi bora Ulweso, siku moja baada ya kuoa nikamkumbusha mzee kulikoni eti acha tu ndiyo nilishaoa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€life haiko fair
 
Africa ni wanaume wachache sana wanaotaka wanawake wa hivyo, wengi wao hawataki wanawake wawape challenge maana hiyo kwao wanaitafsiri as kupandwa kichwani hivyo wengi wao wanataka wale wanawake ambao kila kitu ni "ndiyo mume wangu".
Nachojiwa wanawake wanasheria wanyenyekevu sana kwenye mahusiano. Hili na wewe unalijua ukianzia kwa kiongozi utapata jibu
 
Haaaaahaaaahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anamjua mpka Craig Mack Hebu Nipe namba zake aisee. Akutane na Mwana hip hop mwenzie hapa sio Wewe mbongo fleva
 
Demu mjuaji kuliko ni tatizo,,atakuona bwege,.mwishoni anakudharau....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…