Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
- Thread starter
- #201
Imeweka msisitizo kwenye misingi mikuu ya taifa, Imejali makundi yote ya jamii kwa kueleza hakizao, imetegua kitendawili cha Mgombea Binafsi,Tume huru ya uchaguzi,uchaguzi Mkuu kupingwa mahakamani,ushindi wa zaidi ya 50%, Mahakama zenye mfumo Imara,msisitizo kwa miiko ya uongozi na watumishi wa umma,Mamlaka ya wananchi yako clear,Muundo wa Muungano uko poa yapo kibao mengine soma bwana kwani si unayo softcopy au hardcopy!
Uliza maswali mengine na ulitaka kitu hicho uanze ligi karibu!
Ni ibara zipi hizo ?
Weka refference.
Otherwise it be a cookie of nonsense and trash