Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
sasa hiyo idadi ninayoisikia kwenye vyombo vya habar na wasomi wengi kuwa idadi haizid 390 inatoka wapi?.pili wakat nafuatilia BMK nilikuwa nasikia wabunge wakisema katiba itaje idadi isizid wabunge 360
Usipende san kusikia bila kufuatilia mambo. Sikia, fuatilia na soma yaliyoandikwa kwnye Katiba Inayopendekezwa imeeleza utaratibu mzima utakavyokuwa. Wapo Wabunge wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa. Idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa itatokana na majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Maneno yasikusumbue soma katiba hiyo ili upate majibu sahihi nakuondokana na nasikia, nasikia, nasikia. Chukua hatua soma ndg yangu wasikupelekepeleke bila ridhaa yako.
