Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 342
Kisa Ukawa wamekupa kazi ya kuingia humu ndani kwa jero jero basi ndo unaongea huo upuuzi, hahaha umechemsha kweli bwana Kobe mzee, naona umeishiwa hoja, na umekataa kuweka hoja ya maana sasa umejifanya kuongelea mambo ya separayion of powers, acha umbeya wewe wa kupotosha watu humu, Ukawa wameshafulia kitambo waone sasahv wanavyotangatanga wakigombea majimbo na vyeo.
Tatizo lako jazba tu, basi !
