Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Mada hapa ni wewe kwenda kujiandikisha siku ikifika afu ukapigie kura ya NDIYO KAtiba inayopendekezwa!!!nadhani umenisoma!

Ww kura ya oyidn cwez hujamckia Nyerere huko aliko
 
Attachments

  • 1431068499414.jpg
    1431068499414.jpg
    17.7 KB · Views: 61
Ww kura ya oyidn cwez hujamckia Nyerere huko aliko

Kijana hii ya Mwalimu umetoa wapi?Mwalimu hajawahi kusema kitu ya namana hii,ha hicho kitabu hakipo if you take a look for ua cover page imefanyiwa editing na photoshop ya kutosha!Pole ndugu acha kabisa kumdharirisha Mwl tunamuheshimu!
 
Nimefanya makusudi ili nione kiwango chako cha ufaham , hebu niambie ww umeisoma hiyo rasim ya katba pendekezwa????
 
Hili jamaa vipi, ..........lAMUIJUI na UWIZI ha ha ha go back to school usituzingue wewe ni haramia wa vitabu title gani hiyo???

Pole sn huwa najibuwa na waelewa kama hujaelewa endelea kupambana na mafuliko????
 
Mada hapa ni wewe kwenda kujiandikisha siku ikifika afu ukapigie kura ya NDIYO KAtiba inayopendekezwa!!!nadhani umenisoma!

wewe mburula wa lumumba aka buku7 acha kupotosha mwana wa nchi yaani akapigie kura hiyo TOILETPAPER iliyotengenezwa na fisadi MAKENGEZA??
 
Hujafanya makusudi humuelewi Mwalimu

Pole cmwelewi mi nimefanya nae mambo kibao ww c umezaliwa akiwa hosptali uingereza akafia huko hujawahi mwona akiwa ahi
 
Attachments

  • 1431070774695.jpg
    1431070774695.jpg
    7.6 KB · Views: 60
wewe mburula wa lumumba aka buku7 acha kupotosha mwana wa nchi yaani akapigie kura hiyo TOILETPAPER iliyotengenezwa na fisadi MAKENGEZA??

Cpigii kula hata kama nitabaki pekee yangi na c uzi haki yangu hata kwa ghalama kubwa kias gani
 
Asante ww mwenye jipya lkn hujapata copi ya rasim ya katba pendekezwa ipa unasahauri watu wakapige kura ya ndio mmmmm

UKITAKA KUMCHANGANYA HUYU SIDANGANYIKI aka MWAKABOKO we mpatie hiyo RASIM YA WARIOBA utaona anavyoipotezea utazani katiwa kido....e cha MKND:confused2:
 
Cpigii kula hata kama nitabaki pekee yangi na c uzi haki yangu hata kwa ghalama kubwa kias gani
Wewe na mwenzio Mwalla wote ni mafala mlotumwa na Ukawa, mtatumika sana mwaka huu kama mifagio ya chooni kisa jero jero
 
Back
Top Bottom