Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Pole cmwelewi mi nimefanya nae mambo kibao ww c umezaliwa akiwa hosptali uingereza akafia huko hujawahi mwona akiwa ahi
Huna akili wewe mchumia tu,bo wa Ukawa, kazi yako ni kupist mambo yalopitwa na wakati humu ndani, jipange tena wewe na mmeo Mwalla
 
Wewe na mwenzio Mwalla wote ni mafala mlotumwa na Ukawa, mtatumika sana mwaka huu kama mifagio ya chooni kisa jero jero

Umezoea kutumiwa unafikiri kila mmoja anatumwa pole mi kama kutumwa nimetumwa na tanganyika utaifa kwanza wala c wajinga wenzako wa lumumba ama wa ufipa kwendaczako
 
Huna akili wewe mchumia tu,bo wa Ukawa, kazi yako ni kupist mambo yalopitwa na wakati humu ndani, jipange tena wewe na mmeo Mwalla

Post hujaianza ww ila umeikomalia kama yako povu la nn ww unayo maamuzi ya kijinga unashauri na wenzako wawe ww pole sn
 
Post hujaianza ww ila umeikomalia kama yako povu la nn ww unayo maamuzi ya kijinga unashauri na wenzako wawe ww pole sn

Huyu naye! Kuchangia hoja ni haki ya kila mwana JF siyo lazima uanzishe hoja. Someka wewe! Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
 
Huyu naye! Kuchangia hoja ni haki ya kila mwana JF siyo lazima uanzishe hoja. Someka wewe! Pilipili usiyoila inakuwashia nini?

Umeelewa kweli ulichojibu ama ndio kaswaida chchte popite sawa????
 
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.

Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers).

Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.

Inaruhusu viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya nchi ( ie issue km ya vijisenti vya chenge haitokuwa kashfa tena) ibara 29(2)(b).

Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.

Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).

Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.

N.B
Separation of powers is a political system in which Legislative, Executive, and Judicial are kept distinct in order to prevent abuse of power and promote a system of checks and balances.
View attachment 248635

CHECK SEPARATION OF POWER HAPA CHINI

UTAWALA - TOKA KUANZA KWA MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA TANZANIA.

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe

CCM ( Chama cha Mapinduzi)

1990-1996. M/ kiti Ali Hassan Mwinyi
1996-2006. M/ kiti Benjamin Mkapa
2006-2016. Mkiti Jakaya Kikwete

CUF (Civic United Front).

1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.

NCCR MAGEUZI.

1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.

Nenda kajifunZe kuandika kwanza ili siku ya kupiga kura usikosee kuweka NDIYO.

Ctaweza kamwe kuipigia ndio rasm ambayo imekataliwa hata na cta pamoja na magengeza walioiandaa bada ww unakuwa wa mwisho kila ck
 
Umeelewa kweli ulichojibu ama ndio kaswaida chchte popite sawa????

Naona unahitajika kurudi kujifunza kuandika. Nanda usiogope. Tunajua unahitajika kujifunza. Unasemaje maana hujaeleweka hata kidogo. Au ndiyo kuweweseka?
 
Naona unahitajika kurudi kujifunza kuandika. Nanda usiogope. Tunajua unahitajika kujifunza. Unasemaje maana hujaeleweka hata kidogo. Au ndiyo kuweweseka?

Pole ngoja nikunyamazie maana ndio dawa ya watu kama ww~
 
Cshindwi kumwelewa mtu hata kama mjinga kama ww ucjali

Mjinga ni mtu mzuri kwenye jamii, ispokuwa mpumbavu hafai kwa kuwa hafundishiki. Nachelea kusema maneno kama hayo maana unahitajika kutokufika huko maana unafundishika. Hongera kwa kuwa mu wazi ndiyo maana nasema unafudishika.
 
Mada hapa ni wewe kwenda kujiandikisha siku ikifika afu ukapigie kura ya NDIYO KAtiba inayopendekezwa!!!nadhani umenisoma!
Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika
 
Ctaweza kamwe kuipigia ndio rasm ambayo imekataliwa hata na cta pamoja na magengeza walioiandaa bada ww unakuwa wa mwisho kila ck

Nenda kaungane na huyo babu yako kulala usingizi afu cku mkiamka mtakuta kura zilishapigwa ati!!
 
Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika

Hizo sababu umezisoma haujazielewa ndo maana umekurupuka kuja humu,wewe mwenyewe una makengeza kama hao babu zako unaowapenda sana waliokutungia hiyo "ndasimu"ya kufungia "shabati" na maandazi teah teh teh!
 
Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika
Hizo sababu zako za hapana hazina mashiko, maana wengi mnafata mkumbo hamtaki kuukubali ukweli kwamba katiba hii ni nzuri, mmekuwa wavivu wa kuisoma mmekalia kupinga tuu, ni sheedah watu wenye utindio wa ubongo kama nyie, pole sana you must be abnormal wala sio bure.
 
Tatizo lako jazba !
 
Tatizo lako jazba !

Pole sana na mpambano ambao unajua kabisa mwisho wake ni ushindi kwa Katiba Inayopendekezwa!!!
image.jpg
 
Back
Top Bottom