Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Wewe umekimbia Mirembe!! Na kura utapiga tu !View attachment 254722

Posting yako imenifurahisha saana kwa sababu haina ukweli au mimi ndiyo nimeshindwa kuilewa kama ina maana zaidi ya ulivyoiandika.Nikiendelea baada ya mwaka 1970 ukaanza mtihani wa TAIFA ukawa unaitwa National Certificate of Education ukisimamiwa na Baraza la Taifa la Mitihani na baada ya hapo muungano wetu ukawa unatafsiriwa kama ulivyosikia na mengi mengine.Pamoja na yote hayo LOGO kwenye posting yako imekaa vizuri Hongera.
 
Hajakosea hapo, wapo kunguni watakaopiga Ndiyoooooo ingawa kwa sasa wanajifanya kupinga, lkn ukweli wanaujua kwamba hapana zao hazitozaa matunda kamwe.
 
Tatizo lako jazba !
...kunguni anaweza kupiga kura?
 
Tatizo lako jazba !
...kunguni anaweza kupiga kura?

Haa wewe hivi hiyo ni akili ya kawaida kuamua kuwatukana watanzania??unawaita kunguni eeee??na juhudi zao za kujiandikisha ili wapige kura wao ni kunguni??kweli zero brain is talking!!
 
Usishangae wala kufaurahi sana maana hiyo ni kawaida tu na ndo Tanzania tuliyonayo!!
 
Chenge alijua alichofanya escrow ndo maana akitengeneza katiba ili imlinde
 
Hata wananchi wenyewe walijua kuwa Katiba Mpya ni lazima ndo maana wanasubiri kuipigia kura, mie nimeshajiandikisha kwenye Bvr sijui wewe?

Kujiandikisha kwa wale ambao bado, ni vema ratiba ya kujiandikisha ikiwafikia kwenye maeneo yenu ni vema mjitokeze kwa wingi ili tujenge kwa pamoja msingi wa Tanzania.
 
Ratiba naamini imeshawekwa mitandaoni suala kubwa sasa watu wajitokeze kwa wingi kwenda kujiandikisha iki muda wa kupiga kura ukiwadia basi wawe huru kutimiza haki zao.
 
Haa wewe hivi hiyo ni akili ya kawaida kuamua kuwatukana watanzania??unawaita kunguni eeee??na juhudi zao za kujiandikisha ili wapige kura wao ni kunguni??kweli zero brain is talking!!

Ungesoma vizuri.
Namjibu huyo mwenye jazba anayetuita kunguni.
 
Back
Top Bottom