Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Tanzania ya sasa na ijayo inakutegemea,jitokeze kujiandikisha ili uweze kushiriki kura ya maoni kwa kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa.
pigia kura ya HAPANA katiba ya FISADI CHENGE & Co
 
Katiba inayopendekezwa ndio habari ya 2015,jitokeze kujiandikisha ili uweze kushiriki kupiga kura ya ndio wakati utakapofika
 
Kama lazima ipite kwa njia mnazofaham nyie yann kuitangaza tuipigie kura ya ndio?
 
Kama lazima ipite kwa njia mnazofaham nyie yann kuitangaza tuipigie kura ya ndio?

Usijifanye hujui utawala nini unafikiri kwa mawazo yako kwa nini kumekuwa na concern ya kusogezwa tarehe ya kura ya maoni kutoka kwa wananchi?hiyo ni ishara ya kuwa Katiba hii ni ya watu lazima kura ya maoni ifanyike na hii ni kwa mujibu wa sheria utake usitake hiZo njia unazoziwaza wewe hazina nafasi Tazania!
 
jamani naomba mnisaidie ibara inayotaja idadi ya wa bunge maana sijaiona .
 
jamani naomba mnisaidie ibara inayotaja idadi ya wa bunge maana sijaiona .
Katika Katiba Inayopendekezwa idadi ya wabunge haikutajwa. Kwa kujiridhisha na kuelewa masuala ya Bunge soma kuanzia ibara 139 hadi ya 162. Vinginevyo Katiba Inayopendekezwa ni muhimu kuipigia kura ya ndiyo.:yo:
 
Kama lazima ipite kwa njia mnazofaham nyie yann kuitangaza tuipigie kura ya ndio?
Wewe ndugu elewa kuwa hakuna anaelazimishwa humu ndani, bali unaelimishwa juu ya mambo mazuri yaliyomo ndani ya katiba inayopendekezwa, heee vp wewe mbna unataka kupotosha umma?
 
Katika Katiba Inayopendekezwa idadi ya wabunge haikutajwa. Kwa kujiridhisha na kuelewa masuala ya Bunge soma kuanzia ibara 139 hadi ya 162. Vinginevyo Katiba Inayopendekezwa ni muhimu kuipigia kura ya ndiyo.:yo:

sasa hiyo idadi ninayoisikia kwenye vyombo vya habar na wasomi wengi kuwa idadi haizid 390 inatoka wapi?.pili wakat nafuatilia BMK nilikuwa nasikia wabunge wakisema katiba itaje idadi isizid wabunge 360
 
Back
Top Bottom