Imeweka msisitizo kwenye misingi mikuu ya taifa, Imejali makundi yote ya jamii kwa kueleza hakizao, imetegua kitendawili cha Mgombea Binafsi,Tume huru ya uchaguzi,uchaguzi Mkuu kupingwa mahakamani,ushindi wa zaidi ya 50%, Mahakama zenye mfumo Imara,msisitizo kwa miiko ya uongozi na watumishi wa umma,Mamlaka ya wananchi yako clear,Muundo wa Muungano uko poa yapo kibao mengine soma bwana kwani si unayo softcopy au hardcopy!
Uliza maswali mengine na ulitaka kitu hicho uanze ligi karibu!
Mkuu usipoteze muda na hao mavuvuzela bendera fuata upepo.Ni ibara zipi hizo ?
Weka refference.
Otherwise it be a cookie of nonsense and trash
Ni ibara zipi hizo ?
Weka refference.
Otherwise it be a cookie of nonsense and trash
Mkuu usipoteze muda na hao mavuvuzela bendera fuata upepo.
Hawana uwezo wa kusoma na kuelewa katiba, hawana uwezo wa kuweka referrence.
Katiba ni kura ya HAPANA.
Pamoja sana
Mkuu usipoteze muda na hao mavuvuzela bendera fuata upepo.
Hawana uwezo wa kusoma na kuelewa katiba, hawana uwezo wa kuweka referrence.
Katiba ni kura ya HAPANA.
Pamoja sana
Kweli kaka, kashindwa kuweka reference.
Watu wengine mizigo sana !
Kweli kaka, kashindwa kuweka reference.
Watu wengine mizigo sana !
natamani ningefahamu umri wenu nijue kwa kiwango gani mnaweza kuwa objective katika hoja zenuwewe hauishi wala kwenda chooni bila ukawa na jero jero zao wanazokulipa kuingia humu jf kuipinga katiba hii nzuri yenye maoni ya makundi yote ya wananchi. Hahahahha piga jero jero zako bhana lkn jua unapoteza tyme yako bureeeeeee. Hii inapita jijende jikabujeeeee!
Wewe acha uvivu usitake utafuniwe kila kitu. Soma Katiba Inayopendekezwa. Nakala zipo mtaani na wewe inaonekana ni mtaalam wa mtandao soma softcopy ya Katiba hiyo.Ni ibara zipi hizo ?
Weka refference.
Otherwise it be a cookie of nonsense and trash
Wewe acha uvivu usitake utafuniwe kila kitu. Soma Katiba Inayopendekezwa. Nakala zipo mtaani na wewe inaonekana ni mtaalam wa mtandao soma softcopy ya Katiba hiyo.
Sawa sawa kamanda, suala sasa ni kuisoma, kuielewa na kuipogi akura ya ndiyo hapo NEC wakishatangaza rasmi tarehe ya kuipigia kura ya maoni kwa katiba hii.Kura ya ndio katiba mpyaaa.
Muungano wetu udumuu.
Leo watu na mataifa yanaungana eti sisi tutengane kisa uchu wa madaraka????
NYIE WAGONJWA WA KATIBA YA CHENGE BADO MPOO😛eace:😛eace:Sawa sawa kamanda, suala sasa ni kuisoma, kuielewa na kuipogi akura ya ndiyo hapo NEC wakishatangaza rasmi tarehe ya kuipigia kura ya maoni kwa katiba hii.
KABLA HUJASOMA HIYO YA fisadi CHENGE aka MAKENGEZA soma hii hapaKama hana hat hiyo copy nimemwekea hapo chini ili aweze kuisoma kwa urahisi zaidi.
View attachment 246276
Reference: Katiba Inayopendekezwa,Bunge Maalum la Katiba (BMK),Oktoba, 2014 Dodoma-Tanzania.
Ongeeni lingine,tafuteni na msome mmeshazoea madesa na kudesa!